Inasikitisha sana na inaumiza.
Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo,
nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano.
Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa.
Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia.
Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara?
Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
Habari zenu wanaJF wenzangu.
Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
Toka juzi nafuatilia matukio yanayotokea huko Ukraine kupitia Twitter, ila kuba hili suala la waafrika kujiona kama wanaonewa hasa kupewa hifadhi na access kwenye safe zones inasikitisha sana.
Kuna clips zinasambaa mojawapo ni waafrika hasa wanaijeria wanalalamika hawaruhusiwi kuingia Poland...
Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:-
1. Mwafrika anawezakuwa Papa?
2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani?
3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani?
4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani?
5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani?
6. Mwafrika...
Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini
Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa
Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe.
Hapa nazungumzia...
Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt...
Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.
Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
Hatuna muda wa kuinjoy maisha
Mkikutana wapenzi ndani ya wiki mbili tu mmeshabebeshana mimba
Hakuna time ya kufutahia uhusiano wenu utazani nyie ni ng'ombe kwamba mkizaa haraka mnamsaidia mfugaji kupata maziwa na mifugo kuongezeka.
Ona wenzetu weupe wanavyoinjoy,wanaanza na uchumba,wanakaa...
Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka
minne iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe
amesema mtoto...
Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza.
____________
Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo...
Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich...
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar.
Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu...
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:
Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing
Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?
Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.
Haya...
The Bombay Africans in the 19th century,
Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake. Waingereza waliwapeleka kwenye vítuo maalum huko Uhindi - Bombay; maana waliona wakiwarudisha pwani la Afrika...
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
Inasemekana kabla hata ya Yesu waafrika walikuwa wamefika bara la Amerika na kuanzisha ustaarabu huko ulioitwa olmecs. Hawa ndiyo waliwafundisha watu wa Amerika kujenga mapiramidi na kuchonga masanamu makubwa ya mawe.
Walipeleka na teknolojia ya kujenga mapiramidi.
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.