UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9.

Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kudhibiti mabadiliko yanayoendelewa kushuhudiwa maeneo mbalimbali ikiwemo kuyeyuka kwa barafu mlima Kilimanjaro.

Aidha ripoti imebainisha kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yataathiri Pato la Taifa kwa 3% ifikapo 2050.
===

More than 100 million extremely poor people in Africa are threatened by accelerating climate change that could also melt away the continent's few glaciers within two decades, a UN report warned on Tuesday.

In a report ahead of the COP26 climate summit in Glasgow, the UN highlighted Africa's "disproportionate vulnerability" last year from food insecurity, poverty and population displacement.

"By 2030, it is estimated that up to 118 million extremely poor people will be exposed to drought, floods and extreme heat in Africa, if adequate response measures are not put in place," said Josefa Leonel Correia Sacko, commissioner for rural economy and agriculture at the African Union Commission.

The extremely poor are those who live on less than $1.90 per day, according to the report coordinated by the World Meteorological Organization (WMO).

"In sub-Saharan Africa, climate change could further lower gross domestic product by up to three percent by 2050," Sacko said in the foreword to the report.
"Not only are physical conditions getting worse, but also the number of people being affected is increasing," she said.

WMO Secretary-General Petteri Taalas said that last year Africa saw temperatures continue to increase, "accelerating sea-level rise", as well as extreme weather events like floods, landslides and droughts, all indicators of climate change.

- Disappearing glaciers -
"The rapid shrinking of the last remaining glaciers in eastern Africa, which are expected to melt entirely in the near future, signals the threat of imminent and irreversible change to the Earth system," Taalas said.

Last year, Africa's land mass and waters warmed more rapidly than the world average, the report said.

The 30-year warming trend from 1991-2020 was above that of the 1961-1990 period in all of Africa's regions and "significantly higher" than for the trend for 1931-1960.
The rate in sea level rise along the tropical coasts and the south Atlantic, as well as along the Indian Ocean, was higher than the world average.

Though too small to serve as significant water reserves, Africa's glaciers have high tourism and scientific value and yet are retreating at a rate higher than the global average.
"If this continues, it will lead to total deglaciation by the 2040s," the report said.

"Mount Kenya is expected to be deglaciated a decade sooner, which will make it one of the first entire mountain ranges to lose glaciers due to human-induced climate change."

The other glaciers in Africa are on the Rwenzori Mountains in Uganda and Mount Kilimanjaro in Tanzania.

To avoid even higher costs of disaster relief, the WMO urged African countries to invest in "hydrometeorological infrastructure and early warning systems to prepare for escalating high-impact hazardous events."

It backed broadening access to early warning systems and to information on food prices and weather, including with simple text or voice messages informing farmers when to plant, irrigate or fertilise.

"Rapid implementation of African adaptation strategies will spur economic development and generate more jobs in support of economic recovery from the Covid-19 pandemic," the report said.

The report involved the WMO, the African Union Commission, the Economic Commission for Africa (ECA) through the Africa Climate Policy Centre (ACPC), international and regional scientific organisations and United Nations agencies.
 
Kwa miti inavyokatwa na vyanzo vya maji kufungwa lazima majanga yatakuja tu
Mbona huko mbali sana wakati majanga tunayaona sasa na joto kuongezeka?

Serikali lazima itenge hela nyingi kwa ajili ya upandaji wa miti
 
The good news ni kwamba UN sio Mungu. Wataumbuka kama WHO walivyoumbuka kuhusu kuokota mizoga kwa sababu ya Covid-19.
 
Kwa miti inavyokatwa na vyanzo vya maji kufungwa lazima majanga yatakuja tu
Mbona huko mbali sana wakati majanga tunayaona sasa na joto kuongezeka?

Serikali lazima itenge hela nyingi kwa ajili ya upandaji wa miti
Hii ni issue ambayo kufanya peke yako ni kama kuweka mtego wa panya kibarazani wakati ndani na vyumbani unawafuga...

Suala hili ni la dunia nzima..., upuuzi unaofanyika nchi moja madhara ni nchi zote yaani kama dunia ni binadamu mapafu yake ni misitu iliyopo sehemu tofauti (Amazon, Congo n.k.) sio nchi moja au mbili pekee
 
UN hipo kwa ajili ya afrika tu!

na jiuliza sana kila baya ni afrika basi waseme UN of africa.
 
Hii ni issue ambayo kufanya peke yako ni kama kuweka mtego wa panya kibarazani wakati ndani na vyumbani unawafuga...

Suala hili ni la dunia nzima..., upuuzi unaofanyika nchi moja madhara ni nchi zote yaani kama dunia ni binadamu mapafu yake ni misitu iliyopo sehemu tofauti (Amazon, Congo n.k.) sio nchi moja au mbili pekee

Kabisa Mkuu naungana na wewe kwa hili
Hili ni suala la dunia nzima hakika angalia hata misitu ya Amazon walivyoivamia

Huku nilipo wanajitahidi sana kupanda miti na serikali imedhamiria haswa ila bado wako mbali na target zao
Kuna grant zinatolewa kwa watu kama wanajitolea kupanda miti na wanapewa hela kwa ajili ya miradi hiyo

Tanzania Miti ipo mingi na wanatoa bure kwenda kupanda ila matokeo ni madogo sana bado wengi hawaoni thamani ya miti

Sio sisi tu ni janga la dunia nzima
 
Back
Top Bottom