waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya Veto UN, waafrika tunavyojidangaya

    Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo. Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu. Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi...
  2. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  4. Dkt Guston

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kwanza nimekosa visa ya Marekani, Waafrika tunabaguliwa

    Habari wana JF Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure, nimeambiwa nijipange niombe upya. Naombeni mrejesho kwa wale waliofanikisha kupata visa ya Marekani
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika katika nchi zao unaelezwa kuongezeka siku hadi siku

    Mwenendo wa Uhamaji wa Waafrika unaelezwa kuongezeka siku hadi siku African Migration Trends to Watch in 2022 – Africa Center for Strategic Studies wanaeleza kuwa Idadi ya Uhamaji wa Waafrika ndani na Nje ya Afrika inaelezwa kuongezea karibu mara mbili zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2010, na...
  6. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  9. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

    Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
  11. Acehood

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanajiona kama wanaonewa muda wote. (Inferiority)

    Toka juzi nafuatilia matukio yanayotokea huko Ukraine kupitia Twitter, ila kuba hili suala la waafrika kujiona kama wanaonewa hasa kupewa hifadhi na access kwenye safe zones inasikitisha sana. Kuna clips zinasambaa mojawapo ni waafrika hasa wanaijeria wanalalamika hawaruhusiwi kuingia Poland...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

    Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:- 1. Mwafrika anawezakuwa Papa? 2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani? 3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani? 4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani? 5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani? 6. Mwafrika...
  13. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

    Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe. Hapa nazungumzia...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

    Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  17. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi tunaishi kama mifugo

    Hatuna muda wa kuinjoy maisha Mkikutana wapenzi ndani ya wiki mbili tu mmeshabebeshana mimba Hakuna time ya kufutahia uhusiano wenu utazani nyie ni ng'ombe kwamba mkizaa haraka mnamsaidia mfugaji kupata maziwa na mifugo kuongezeka. Ona wenzetu weupe wanavyoinjoy,wanaanza na uchumba,wanakaa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

    Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe amesema mtoto...
  19. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza. ____________ Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Wakuu Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja. Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich...
Back
Top Bottom