#COVID19 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1644557886631.png

Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo

Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt. Matshidiso Moeti amesema idadi ya kutosha ya dozi za Chanjo ipo, na jitihada sasa inapaswa kuwa kwenye kuhamasisha watu kuchanjwa

Shirika hilo linakadia idadi ya maambukizi inaweza kuwa kubwa mara saba ya Takwimu rasmi zinavyoonesha, huku vikiwa vikiwa mara mbili au tatu zaidi

===
Africa’s response to the Covid-19 pandemic had improved over time but the continent needed to accelerate the pace of vaccination to control the pandemic, the head of the World Health Organization’s Africa division said today, Reuters reports.

“We are finally able to say that if the current trends hold, there is light at the end of the tunnel. As long as we remain vigilant and we act intensively particularly on vaccination, the continent is on track for controlling the pandemic,” said Dr Matshidiso Moeti, World Health Organization regional director for Africa.

She said the response had become more effective with each new wave of the virus, noting that the first wave had lasted 29 weeks while the fourth was over in six weeks.

However, Moeti said 85% of Africans had yet to receive a single dose of vaccine, and uptake needed to be significantly accelerated. “A steady supply of doses is now reaching our shores, so the focus needs to be on translating those into actual shots in people’s arms,” she said.

Source 1: Guardian

=====

The World Health Organization estimates that the number of COVID-19 infections in Africa could be seven times higher than official data suggests, while deaths from the virus could be two to three times higher, its regional head said on Thursday.

"We're very much aware that our surveillance systems problems that we had on the continent, with access to testing supplies, for example, have led to an underestimation of the cases," Dr Matshidiso Moeti told a regular online media briefing.

Source 2: Reuters
 
Na hatuchanji!
Hawajiulizi tu walisema Africa watakufa sn kuliko ulaya covid ikiingia,ikawaje?
Hata sasa utabiri wao hautatimia,tunaufuta kwa jina la Yesu,watakufa wao wtatuacha!

Hatuchanji,hatufi ng'ooo.
 
Sawa 85% ya waafrica hawaja chanja...vp hukusu percentage za vifo zimekaaje kati yetu na wao waliochanja?
 
Back
Top Bottom