Ethiopian Airlines Mkombozi wa Waafrika

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar.

Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu mpaka leo wamebak SA kwa gharama zao
 
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar. Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu mpaka leo wamebak SA kwa gharama zao
Jamaa zetu hao. Hata ukizidisha mzigo hawamaindi
 
Sauz wamezuia international travel toka lini? Maana Nina tiketi ya KQ to CPT tarehe 8 Disemba
 
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar. Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu mpaka leo wamebak SA kwa gharama zao
..na hii vita ya wenyewe kwa wenyewe unadhani shirika lita-survive?

..huwezi jua huenda waliokuwa wakiendesha hilo shirika ni watigray ambao hawatakiwa na serikali sasa hivi.
 
Soma historia ya Ethiopian airlines utaelewa. Shirika limeanzishwa 1946 ukitokea nchi Ina vita huwa wanahamia nchi jirani (Kenya) kazi inaendelea.
 
..na hii vita ya wenyewe kwa wenyewe unadhani shirika lita-survive?

..huwezi jua huenda waliokuwa wakiendesha hilo shirika ni watigray ambao hawatakiwa na serikali sasa hivi.
Ukizingatia Tewolde GebreMariam CEO wa Ethiopian Airlines ni tigray. Kina Abiy nawenzake hawamtaki basi tu waneshindwa kumtoa kwasabab jamaa Yuko poa kiutawala na anakubalika
 
Soma historia ya Ethiopian airlines utaelewa. Acha kuropoka
..umetumia lugha kali kidogo.

..ni kweli shirika lili-survive vita ya kuondoa utawala wa Col.Mengistu Haile Mariam, pia kuondolewa kwa Mfalme Haile Selasie.

..Je, lita-survive na safari hii? je, tuna uhakika kwamba ethiopia itabakia moja na haitasambaratishwa na vita vinavyoendelea?
 
Hushangai pamoja na shirika kutengeneza faida bado wanachi ni maskini Sana. Faida inakwenda wapi? Wanaendaga kununua silaha za kutandika wazushi
 
Ilani tupa kule. Tigray atatandikwa kwa gharama yoyote ikibd nchi ifilisike. Halafu bwawa lizinduliwe kwenye Summit ya AU
 
Hushangai pamoja na shirika kutengeneza faida bado wanachi ni maskini Sana. Faida inakwenda wapi? Wanaendaga kununua silaha za kutandika wazushi

..ile nchi ni pasua kichwa.

..idadi yao ni watu 110+ million.

..wasiwasi wangu ni kwamba nchi inaweza kusambaratika.
 
Tigray wanataka kujitenga Kama Eritrea
..Eritrea nao ni Watigray.

..sasa jiulize kwanini Watigray wa Ethiopia hawataki kuungana na ndugu zao wa Eritrea.

..Na Watigray / Tplf walikuwa chama tawala kwa miaka 30, kabla Abbiy Ahmed hajaingia madarakani.

..Na utawala wao ulichukiwa na kuogopwa kutokana na kukithiri kwa ukatili.

..ndio maana nasema ile nchi ni pasua kichwa.
 
..ile nchi ni pasua kichwa.

..idadi yao ni watu 110+ million.

..wasiwasi wangu ni kwamba nchi inaweza kusambaratika.
Population ya Nigeria ni ngapi? Mbona wanazinguana daily lakin mpaka leo hawajajitenga? Accession Ni matusi makubwa kwa Kiongozi wa nchi
 
..Eritrea nao ni Watigray.

..sasa jiulize kwanini Watigray wa Ethiopia hawataki kuungana na ndugu zao wa Eritrea.

..Na Watigray / Tplf walikuwa chama tawala kwa miaka 30, kabla Abbiy Ahmed hajaingia madarakani.

..Na utawala wao ulichukiwa na kuogopwa kutokana na kukithiri kwa ukatili.

..ndio maana nasema ile nchi ni pasua kichwa.
Meles Zenawi ndo alilea huu ujinga
 
mwishowe Ethipoia itaishiwa kuwa kama Yugoslavia; itagawanyika vipande vidogovidogo isiwe nchi relevant tena. Matatizo yaliyoikumba Yugoslavia yalitokana na Ukabila, na ndiyo yalnayoisumbua Ethiopia pia. Walianza kumegeka Eritrea, na sasa huenda Tigray nayo ikamegeka.
 
Hameguki mtu hii vita Zama za Korona kila nchi Ina hamu ya Ku-test mijegejo yake. Egypt kashashua silaha za maana (akisaidiwa na washirika watengeneza chanjo). Abbiy nae anasaidiwa na UAE tusibiriw Mchina nae arushe masilaha
 
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar. Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu mpaka leo wamebak SA kwa gharama zao
Du
 
Back
Top Bottom