vyuo

  1. Kijana ushe2

    JamiiForums Tanzania Selection form five na vyuo vya kati 2021/2022

    Wanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
  2. Jembemtaji

    JamiiForums Tanzania Vyuo visivyotambuliwa ndio vyuo gani?

    Mara nyingi zinapotoka nafasi za kazi hasa zile zinatangazo Serikali. Kunakua na kukusisitiza waombaji wawe wametoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Sasa najiulizaga maswali sipati majibu 1. Vyuo ambavyo havitambuliwi na serikali ni vipi? 2. Kama havitambuliwi mbona wanatambua kua...
  3. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Business Plan kwenye mazingira ya vyuo kama Mipango-Dodoma

    Habar zenu wana JF. Hope wote wazima. Naombeni ushauri wa biashara nitakayoifanya mazingira ya chuo yenye kupata faida ukiachana na biashara ya kula na kuvaa. Frame ninayo ambayo ni kubwa 2 nimeanza na uwakala. Asanteni
  4. mdau mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania. Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dirisha la udahili wa masomo ya Astashahada/stashahada kwa mwaka 2021/2022 kwa vyuo vilivyo chini ya NACTE limefunguliwa 27/05/2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI WA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021/2022 Haya vijana muda ndio huu. Fanya applicatons mapema kuepuka last-minute congestion/scramble! ==== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA BARAZA LA TAIFA LA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ubora wa Vyuo vya Elimu ya Juu Uganda

    Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Prof. Anangisye: Chuo Kikuu makini hakiwezi kuvumilia Wanataaluma wasiofanya Utafiti

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii. Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba kujuzwa kuhusu vyuo hivi kuelekea udahili wa masomo ngazi ya astashahada na stahada 2021/2022

    Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo wanajitolea Serikalini na mashirika yake wapewe kipaumbele ajira

    Kuna vijana wahitimu wa vyuo vikuu wengi wameajiriwa kwa mikataba ya kujitolea serikali za mitaa serikali kuu na mashirika ya umma. Hakika inauma sana unapoona mtu amesota miaka miwili halafu nafasi imetoka anaomba halafu anapewa mtu mpya hajatoa jasho lolote kujitolea. Kwa vyovyote yafaa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

    Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi. Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sera ya Vyuo Vikuu kubakiza wahitimu wenye ufaulu wa juu badala ya kuajiri wasomi walio- practice unaathri ubora wa elimu inayotolewa vyuoni

    Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao hawaja-practice katika field wanazofundisha na hivyo kuzalisha wasomi wenye kukosa maarifa na uzoefu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Umma; Mama Samia Rais wetu vinusuru Vyuo hivi

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya hali ilivyo katika vyuo vikuu vyetu vya umma. Ninazo hoja sita, leo nitawasilisha mbili na zingine nitawasilisha ndani ya juma hili. Ajira za Maprofesa katika vyuo vikuu vya umma na hali halisi ilivyo hivi sasa katika vyuo hivi Mitaala ya Vyuo Vikuu...
  13. Mwalimu-Mkuu

    JamiiForums Tanzania Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

    Kwa jina la Jamhuri salaam wana bodi, Tatizo ni nini wana jamvi? Kila ninapopata nafasi ya kumfatilia profesa na baadhi ya madaktari wanaofahamika ambao wengi wao wana nyadhifa mbalimbali hasa za kisiasa, nashindwa kuelewa kama ni wasomi au la! Unapata professa anatoa povu tu na haeleweki...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  15. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua vyuo vya private vinavyotoa Diploma ya Ualimu wa sayansi sekondary

    Wana jf naombeni kwa yeyote anaejua au anaesomea au aliesomea diploma ya ualimu wa sayans sekondar anitajie vyuo vya private vinavyotoa hyo kozi.
  16. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  17. Volatility

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifute mikopo ya halmashauri badala yake mikopo hiyo ielekezwe kwa wahitimu wa vyuo na walemavu

    Habari wanabodi..! Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu. Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu. Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani. Pia kuna baadhi ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu application za vyuo

    Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
Back
Top Bottom