vyuo

  1. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  2. Volatility

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifute mikopo ya halmashauri badala yake mikopo hiyo ielekezwe kwa wahitimu wa vyuo na walemavu

    Habari wanabodi..! Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu. Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu. Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani. Pia kuna baadhi ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu application za vyuo

    Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Neno "watanionaje" ndio linawafanya graduates wengi kuchagua kazi

    Habarini wanaJF, nakumbuka kauli ya mgombea uraisi wa UKAWA 2015 Ndugu Edward Lowasa alotamka kuwa tatizo la ajira tusipokuwa makini litakuja kuwa bomu, sasa ni rasmi kauli yake imetimia. Kwa sasa ajira kwa wahitimu ishakuwa ngumu, tena baada miaka miwili au mitatu litakuwa kubwa zaidi. Kama ni...
  7. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  8. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
  9. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zinasaidia kupotosha ufahamu wa watu kuhusu COVID-19. Hata Vyuo vikuu!

    Kinachotokea nchini ni mchanganyiko ni ukosefu wa maarifa toka kwa wahusika wanaotakiwa kufanya hivyo. Kama alivyosema Mganga mkuu wa serikali, kuna watu wanataka kusikia kinachosemwa na viongozi ndo wachukuwe hatua za kujikinga. Bahati mbaya wanaotakiwa kusema hawasemi ukweli. Masikitiko...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chaya: Elimu ya nadharia kwenye vyuo ndio inaleta changamoto ya ajira kwa Vijana

    Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa. Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

    Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo. Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

    Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu: Kuelimisha/kifundisha (teaching) Kuandika vitabu (publication) Kufanya tafiti (Research). Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

    Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali. Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

    Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu. The University of Nairobi has been ranked the top...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  17. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

    Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

    Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
  19. D-enzo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
Back
Top Bottom