vyuo

  1. msovero

    JamiiForums Tanzania UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

    Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika. Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Muundo wa Majimbo ya Uchaguzi ya Vyuo Vikuu

    Nyanja: Demokrasia. Muundo wa majimbo haya uwepo kwenye nafasi za ubunge na udiwani pia ambapo watakao kuwa na uhalali wa kugombea wawe ni wanajumuiya za vyuo husika na siyo wanafunzi. Wanafunzi wasiruhusiwe kugombea wala kuchagua wabunge na madiwani watokanao na majimbo ya uchaguzi ya...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuanzishwa Majimbo ya Uchaguzi ya Vyuo Vikuu

    Bara la Afrika hivi sasa linahitaji kuona wasomi wake waliojengwa kwa gharama kubwa wakilitumikia kwa uhuru mkubwa sana wakiongozwa na dhamira za weledi wao na nguvu zao za kitaaluma na kitaalam pasina kuingiliwa kisiasa katika yale ambayo wanayaibua kwa ushahidi wa kisayansi na ambayo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania Ipanuliwe Yaanzishwe Majimbo ya Uchaguzi ya Vyuo Vikuu

    Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Kwa kuzingatia historia ya utendaji wa bunge letu na mabaraza ya madiwani na jukumu la msingi sana la kizalendo ambalo kila mwanazuoni anajivika pale anapokuwa amehitimu mafunzo yake na kuapa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa vyuo viwili aende wapi??

    Amechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi. Institute of Social Work Kampala University Je aende wapi??
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCU inavikanganya vyuo na wanafunzi

    Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao hadi dakika ya mwisho. Mkanganyiko kwa vyuo uko hivi, vyuo havina uhakika ni wanafunzi wangapi...
  7. UnipromoTech Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu 2021

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  9. mahunduhamza

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

    Nchi zote zilizoendelea ikiwemo Marekani huwa wana vyuo ambavyo havajiasajiliwa. Ili mradi vijitangaze hivyo kuwa chuo ni unaccredited na kuwa havitoe vyeti vinavyotambuliwa popote. Hivi vyuo huwa ni muhimu sana sababu vingi hutoa knowledge za jinsi ya ku survive mitaani. Pia ndivyo hutumika...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania NACTE: Tuna changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa, Watanzania wengi wanavipenda kwa ada yake ya chini

    Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La. Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

    Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma. Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda, Afrika Kusini, na Nigeria ndio mataifa yenye vyuo vilivyo kwenye kumi bora Afrika

    Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja. Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800 Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
  14. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

    Habari wakuu! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

    Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China. I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  17. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Vyuo vyetu vinazalisha wataalamu ambao hawatahitajika

    Habari, Kwanza niseme tu kwamba mimi ni mdau wa elimu na ninafuatilia kwa ukaribu sana uelekeo wa elimu ya nchi yetu. Kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita nimebahatika kufuatilia kwa ukaribu uelekeo wa mafunzo,aina ya mafunzo,nyenzo za mafunzo yanayotolewa katika taasisi za elimu hapa nchini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

    Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu. Mfano: Mtu wa Medicine anatakiwa awe na minimum point 6, lakini lazima awe na C kwenye chemistry. Programme gani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ianzishe vyuo vya wanawake tu ili kupunguza mimba kwa wanafunzi

    Watoto sasa wanamaliza kidato cha 4 na kidato cha 5 wakiwa na umri mdogo ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya wanawake hapa nchini. Hii itapunguza mimba za utotoni kuna wakati vyuo mimba zina zidi dah
Back
Top Bottom