Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya NECTA

sharafu

Member
Jun 1, 2020
78
75
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo:

Vyuo:
1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE?

Matokeo:
2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit?

3. Pass inaanzia pointi ngapi na kuishia ngapi?

4. Fail inaanzia pointi ngapi?
 
DSEE Ni diploma in secondary education examination,Wakati GATCE ni grade A teachers certificate examination
 
Distinction ndio ufaulu wa juu kabisa hivyo hatima yao ni kama walivyopangiwa na mola. Credid ufaulu wa kati, pass ni ufaulu wa juu kidogo kabla ya kuitwa failure.
GATSCCE= Grade A Teacher Special Course Certificate ( In Special Needs) Education
 
Back
Top Bottom