Selection form five na vyuo vya kati 2021/2022

Kwanini? Mie nimeona hapo wa kwangu nukafurahi aende tu maana Kesha kaa Sana hapa nyumbani na kiburi juuuuu...aende Sasa.
Mimi wangu bado ni shida maana nilitegemea atapangiwa boarding lakini matokeo yake dogo anarudi home
 
Back
Top Bottom