vyama

  1. J

    GE2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

    Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
  2. Mwanamayu

    GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
  3. E

    GE2020 Lissu hili la Vyama vya Ushirika umedanganywa na sisi umetudanganya

    Juzi ulivyokuwa mwanza uliongelea kuhusu wakulima wa pamba kukopwa Pamba yao na wanunuzi binafsi wa Pamba. Naona mkuu haukuwepo nchini muda mrefu. Naomba nikusaidie. 1. Msimu wa pamba 2019/2020 hakuna mfanyabiashara aliyenunua Pamba moja kwa moja kwa mkulima, pamba ilinunuliwa na halmashauri za...
  4. Kichuguu

    GE2020 Somo la bure kwa Vyama vya Upinzani mwaka huu

    Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate sheria na kusimamia sana raslimali za nchi bila kuwasikiliza watu wa nje. Hizo ndizo mada za...
  5. gfsonwin

    GE2020 Ilani za Uchaguzi za Vyama Vikuu vya Siasa

    Wanabodi salam! Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao. CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni UHURU HAKI NA MAENDELEO. ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
  6. Mzalendo Uchwara

    GE2020 Vyama vya upinzani vijifunze ujazaji fomu kwa wagombea wao kutoka CCM

    Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form. Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi; - Baada tu ya...
  7. Leslie Mbena

    GE2020 Uchambuzi wangu katika ufunguzi wa kampeni wa vyama vikuu vitatu, CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo

    UCHAMBUZI WANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 12:50hrs 30/08/2020 Miaka yote ya uchaguzi Mkuu,Wapinzani walitambaa na kashfa za ufisadi kama ajenda yao kuu ya kuwaambia Watanzania,utakumbuka kashfa ya Ufisadi wa Kagoda,Meremeta, Epa,2005...
  8. Kabulala

    Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

    Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake? Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji...
  9. Leslie Mbena

    GE2020 Kwa mtazamo wangu, naona Ndugu Tundu Lissu amejawa Chuki na visasi

    TATHMINI YANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 10:15am 30/08/2020 Vyama vya siasa nchini Tanzania vimeanza safari ya kampeni kutangaza sera kwa Watanzania kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani, Watanzania watakwenda...
  10. Victor Mlaki

    Uchaguzi wa mwaka huu unaonesha upinzani utakuwa mkali sana kati ya Vyama vya Upinzani

    Kulingana na hotuba chache nilizopotia kuelekea Uchaguzi huu ujao wa mwezi Oktoba,2020 nimebaini kuwa upinzani utakuwa katika kumbo la kupingana wenyewe kwa wenyewe na siyo kuonesha uhai wao wa kukiwajibisha chama kinachotawala. Wagombea wa upinzani wameshaanza kuchafuana wenyewe kwa wenyewe...
  11. Mbasembase1970

    Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  12. K

    GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  13. B

    GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  14. P

    Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
  15. Influenza

    GE2020 NEC yatoa siku 2 kwa Vyama vilivyopata changamoto kutambulisha Wagombea wao baada ya Watu wasioteuliwa kuchukua fomu za Uteuzi

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka utaratibu mzuri wa Wagombea wao kuchukua fomu za Utezi Tume imesema kutokana na hilo watu ambao...
  16. Mwanamayu

    Suluhu ya wananchi kupata wawakilishi wao badala ya wale wa vyama, 'Mgombea Binafsi' ni LAZIMA

    Vyama vya siasa vimepewa mamlaka makubwa kikatiba kuliko Wananchi katika kuchagua wawakilishi wao, ingawaje wana uwezo wa kutowachagua hao wateule wa vyama. Sababu ni kupindua maamuzi ya baadhi ya wananchi wakati wa kura za maoni kwa vigezo ambavyo wananchi hawapewi mrejesho, na kutopewa taarifa...
  17. B

    GE2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

    Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai. Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao. Kwa nini kamanda Sirro haoni umuhimu wa wenye mali yaani yenye kura zao...
  18. GENTAMYCINE

    Kama jibu hili la kipuuzi alilolitoa Rais Chakwera wa Malawi ndizo akili za Wapinzani wengi Barani Afrika, ni bora Vyama Vikongwe vitutawale milele

    Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
  19. GENTAMYCINE

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  20. K

    Tafakuri huru: Choma choma moto ya Ofisi za Vyama vya Siasa, siyo janja janja ya kutafuta kura za Huruma ya Wananchi?

    Ndugu zangu watanzania, Kwakweli Mungu ni mwema kwa ametupa siku ya leo tena. Ndugu zangu, inapotekea vipindi kama hivi, watu wanatafuta kura, watatumia mbinu mbali mbali, hasa wale ambao wenye sera mfirisi. Nimejiuliza maswali kadhaa hivi: Je, ni kweli Chama Cha Mapinduzi (CCM), wachome moto...
Back
Top Bottom