vyama

  1. Securelens

    GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Leo kwa mara nyingine CHADEMA imeidhihirishia umma kuwa ni chama cha kidikteta na isiyoheshimu misingi ya demkrasia, uhuru na haki ya kisiasa ya kila chama na kila mtanzania. Dunia yote imeshangaa tamko la Mbowe leo akisisitiza huku akitokwa na povu kwamba CHADEMA na CCM tu ndivyo vyama...
  2. Analogia Malenga

    GE2020 Jaji Mutungi avitaka Vyama vya Siasa kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
  3. DR HAYA LAND

    Tujifunze kukubari matokeo kwa vyama vyote ili kuilinda Amani yetu.

    The days of ccm as ruling party are numbers
  4. DR HAYA LAND

    Naomba uchaguzi huu tuitunze Amani kwa kutoa haki kwa vyama vyote bila upendeleo.

    I urging (NEC) to deal with provision of Justice fairness, and respectful of decisions making. Most of NEC workers appointed by current president As well the current president is presidential candidate. Tz for now Tz for future tuitunze Amani yetu.
  5. M

    GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  6. Shark

    GE2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

    Wakuu Kwema? Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake. Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au...
  7. J

    Msajili wa Vyama angesubiri tu CHADEMA na ACT-Wazalendo viungane ili avifutilie mbali badala ya kulalamika lalamika kila siku!

    Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria. Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali. Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana. Maendeleo...
  8. The Palm Tree

    GE2020 Tundu A.M. Lissu: Mgombea Urais wa upinzani machachari zaidi kuwahi kutokea katika chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi kurudi 1992

    Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa mambo mbalinbali kitaifa na kimataifa katika nyanja za elimu, siasa, historia, sheria, uchumi nk kama...
  9. D

    GE2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

    Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili. Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku. Yani hii ofisi ya...
  10. VUTA-NKUVUTE

    GE2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

    Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una...
  11. kavulata

    GE2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

    Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani. Hii Ina maana gani kwa uchaguzi? Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
  12. D

    Ikiwa msajili msaidizi wa vyama hazingatii Sheria za usalama barabarani (Hakuvaa helmet) atawezaje kusimamia ipasavyo sheri za vyama vya siasa?

    Kuna video inazunguka kwenye mitandao ya kijamii. Video hiyo inamuonesha msajili msaidizi wa vyama vya siasa akiwa Hana helmet akielekea ofisi za Chadema! Je; Utii wa Sheria bila shuruti huwa ni kwa ajili ya nani ikiwa viongozi wakubwa Kama huyu hawazingatii Sheria? Ikiwa Sheria za barabarani...
  13. K

    GE2020 NEC ndiyo inaweza kuleta vurugu Tanzania sio Vyama vya Siasa

    NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe. Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia...
  14. T

    Msajili wa vyama vya siasa, acha kujikweza kwa CCM!

    Nasema uache kujipendekeza kwa CCM kwasababu mgombea wo wa uraisi ameshawatisha wananchi lakini hukuchukua hatua yoyote. Mgombea wa CCM anawaambia wananchi wasipochagua CCM watajuta na hatawaletea maendeleo. Mlichukua hatua gani? Kuna vyama viliunga mkono mgombea wa CCM lakini mlikaa kimya...
  15. Q

    Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

    Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani. Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu...
  16. YEHODAYA

    Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni?

    Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni? Yaani ukiwauliza mtaenda kupiga kura unawakuta wanajibu sijui nitaangalilia huko huko mbele CCM ukiwauliza ni haraka wanakwambia sitakosa kwenda kupiga kura
  17. K

    Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

    Nawaombeni Ndugu zangu mnieleweshe juu ya Sheria ya Uchaguzi inasemaje juu ya mawakala ya Vyama vya Siasa kwenye vituo vya kupigia kura. Leo nimemuona mgombea fulani wa Chama fulani akisema kuwa hakitaeleweka kuhusu mawakala wao kama hawataapishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliwasimamie kwenye...
  18. James Martin

    GE2020 Polepole kuwa na staha kwa viongozi wenzako kutoka vyama vingine

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kampeni za uchaguzi huu na mmoja wa watu wanaoshiriki sana kwenye kampeni ni Humphrey Polepole. Mimi si mwanachama wa CCM lakini nadiriki kusema Polepole ni mkomavu kwenye mambo ya siasa na ni hazina kwa chama chake cha CCM. Ila kuna kitu kimoja...
  19. Roving Journalist

    GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  20. kavulata

    GE2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

    Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo kuviunga mkono vyama vikubwa kwenye mbio za uchaguzi. Kama kungekuwa na ruzuku ya kupigia kampeni TLP...
Back
Top Bottom