Uchaguzi 2020 NEC ndiyo inaweza kuleta vurugu Tanzania sio Vyama vya Siasa

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,698
2,000
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.

Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.

Mkurugenzi wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.

Kama NEC haitawaruhusu vyama vya wapinzani kuwa na wawakilishi wao na kuwapa matokeo kwenye kila kituo watakuwa wametangaza fujo maana matokeo yeyote hapo hayata kubaliwa. Cha ajabu NEC wanafikiri Lissu na Seif pekee ndiyo tatizo kumbe tatizo kubwa na watu wa kuwaogopa ni wananchi ambao hawa ni waakilishi tu.

Tushauri NEC ihakikishe uchaguzi unakuwa halali msije kumpeleka Magufuli masikini kwenye kesi za mauaji kama Kenyetta. Na kibaya zaidi ushahidi sasa upo na kuna kundi tayari limeanza kuandaa video zote wakati wa kampeni. Polisi mpaka sasa wanafanya kazi nzuri.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
2,278
2,000
Ile rasimu ya Warioba ya Katiba Mpya wakati ule ilikuwa muhimu sana, ingeondoa haya madudu yote, hawa wateule wa Rais hawawezi kwenda kinyume na mapenzi ya bosi wao, tena mbaya zaidi bosi mwenyewe akiwa na tabia ya kisirani na visasi kama huyu aliyepo.

Hii inawalazimu jamaa kuropoka ujinga wowote kulinda nafasi zao, hawapo huru katika kutimiza majukumu yao.
 
NORTHERNER

Member
Jun 9, 2020
77
125
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.

Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.

Mwenyekiti wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.

Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,986

Dawa ni chadema kumfungulia kesi mkurugenziccm wa Tumeccm kwenye mahakama ya ICC The Hague mapema kwa viashiria vya kuhatarisha Amani
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,986
2,000
Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
Tumeccm NECCCM ni chombo binafsi cha CCM haifanyi kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba bali inafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,008
2,000
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.

Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.

Mwenyekiti wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.

Kama NEC haitawaruhusu vyama vya wapinzani kuwa na wawakilishi wao na kuwapa matokeo kwenye kila kituo watakuwa wametangaza fujo maana matokeo yeyote hapo hayata kubaliwa. Cha ajabu NEC wanafikiri Lissu na Seif pekee ndiyo tatizo kumbe tatizo kubwa na watu wa kuwaogopa ni wananchi ambao hawa ni waakilishi tu.

Tushauri NEC ihakikishe uchaguzi unakuwa halali msije kumpeleka Magufuli masikini kwenye kesi za mauaji kama Kenyetta. Na kibaya zaidi ushahidi sasa upo na kuna kundi tayari limeanza kuandaa video zote wakati wa kampeni. Polisi mpaka sasa wanafanya kazi nzuri.
NEC mnawaonea tu wakina Dr Mahera, wanaoleta fujo ni maccm na mgombea wao asiyependwa kupingwa
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,986
2,000
Hawa wote mnawalaumu bure, kama fujo zikitokea na kuvuruga Uchaguzi kwavile JIWE anaelekea kushindwa, wakulaumiwa ni JIWE peke yake kwani ndiye ARCHITECT!!
ICC na taasisi zote za haki za binadamu wapo wanaendelea kumchunguza vizuri baada ya uchaguzi mkuu atafikishwa The Hague
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,008
2,000
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,175
2,000
Ile rasimu ya Warioba ya Katiba Mpya wakati ule ilikuwa muhimu sana, ingeondoa haya madudu yote, hawa wateule wa Rais hawawezi kwenda kinyume na mapenzi ya bosi wao, tena mbaya zaidi bosi mwenyewe akiwa na tabia ya kisirani na visasi kama huyu aliyepo.

Hii inawalazimu jamaa kuropoka ujinga wowote kulinda nafasi zao, hawapo huru katika kutimiza majukumu yao.
PLPL alisha sema Kukiwa na tume huru CCM hawatashinda
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
12,420
2,000
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.

Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.

Mwenyekiti wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.

Kama NEC haitawaruhusu vyama vya wapinzani kuwa na wawakilishi wao na kuwapa matokeo kwenye kila kituo watakuwa wametangaza fujo maana matokeo yeyote hapo hayata kubaliwa. Cha ajabu NEC wanafikiri Lissu na Seif pekee ndiyo tatizo kumbe tatizo kubwa na watu wa kuwaogopa ni wananchi ambao hawa ni waakilishi tu.

Tushauri NEC ihakikishe uchaguzi unakuwa halali msije kumpeleka Magufuli masikini kwenye kesi za mauaji kama Kenyetta. Na kibaya zaidi ushahidi sasa upo na kuna kundi tayari limeanza kuandaa video zote wakati wa kampeni. Polisi mpaka sasa wanafanya kazi nzuri.
Tume imejaa wapumbavu watupu
 
Wacha

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
1,038
1,500

Tanzania haikuota kama uyoga. Bado siku 30 tunakwenda kuizika Chadema na makuwadi wao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom