vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Tujiulize kuhusu usalama wa vyakula Tanzania

    wakuu, leo mtujikite kwenye mada ya vyakula, katika dunia ya sasa 90% ya vyakula tunavyokula ni industrial processed ni sehemu chache sana zilizobaki hasa vijijini ambapo unapata chakula pure, ambacho hakina preservative, ila mostly vyakula tunavokula vinatoka kwenye industries na makampuni...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

    Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Leo nataka kula majongoo; mkakati wangu wa kugundua vyakula vipya

    Nimechoka kula wali ugali ndizi tambi nk nimeamua kujaribu vyakula vipya kabisa vitakavyonipa ladha mpya. Nimeanza na majongoo Yale makubwa meusi. Nitayala kwa mfumo wa kuyakaanga kwenye mafuta. Nitawekea picha. Mungu nisaidie.
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

    Choo ni sehemu ya muhimu sana, iwe nyumbani, hotelini, ofisini, sokoni, safarini, nk. Utunzaji wa choo unahusisha usafi wake. Ukitaka kufahamu ustaarabu wa jamii angalia mpango lip wa vyoo na usafi wake. Hata uishi kwenye nyumba yenye thamani ya mabilioni, kama choo chako ni kichafu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vipi vinaleta wateja?

    Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani? Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
  6. maji ya gundu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

    Poleni na majukumu wadau, Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile. Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano hadi unatamani...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujenge utaratibu wa kusafiri na vyakula vya kula njiani

    Wenye hoteli za njiani wengi hawatapenda hili bandiko. Lakini kusafiri na chakula ni muhimu hasa unapokua na watoto. Bei ya vyakula njiani ni kubwa pia ubora wake unatia mashaka. Unakuta viazi vitamu viko kwenye karai vimepata vumbi la kutosha tu, vingine unanunua unagundua vimeanza kuoza...
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kuna watu bwana vyakula vingine hawawezi kula au kuchanganya anahisi atatapika

    Kama Mimi kuna jamaa zangu mmoja hawezi kula ndizi mbivu anahisi atatapika, mwingine huyo anasema akila wali na soda basi lazima arudishe basi fuluuu raha unakuta mimi nafurahi kweli nasombelea tu, Ila mimi sasa nikila samaki na chai hapo naweza kutapika vyote maana nahisi kichefuchefu na...
  9. Chembu

    JamiiForums Tanzania Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

    Habari za muda huu mwanajukwaa. Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata. Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dada angu anatafuta kazi mpishi mzuri wa vyakula vya mgahawani hotel

    Habari zenu wadau, Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali. Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chakula kinaitwa MIX kwa sasa ni uchafu, wabongo tukomae na vyakula vyetu hivi vya waarabu tuwaachie wao

    Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi...
  12. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta ofisi ya kusambaza vyakula

    Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘 Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa) Sample ipo kwenye picha hapo chini 👇🏿 Bei zangu ni 3,000/- TZS tu Call/Text/WhatsApp...
  13. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

    Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu. Hutojuta...
  14. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  15. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wapishi wa vyakula, vitafunwa, chips pamoja na wahudumu wanahitajika haraka

    Sifa 1. Awe anajua kupika chakula na vitafunwa vyenye radha nzuri 2. Awe na lugha nzuri Sana 3. Usafi wake na mahala pa kazi ni sifa nyingine muhimu 4. Nidhamu pamoja na kuheshimu mda wa kufika kazini 5. Ajira ni ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja Mahari Rhian tastfood restaurant, Mabibo-Dar Es...
  17. fabinyo

    JamiiForums Tanzania Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

    Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika? Asanteni
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hizi biashara za vyakula hazisambazi covid-19 kweli?

    Moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi biashara za vyakula mfano: miwa iliyo menywa, mahindi ya kuchomwa, nk. Hivi hushikwa shikwa na watayarishaji hasa kwa miwa. Mahindi ya kuchomwa hushikwa shikwa hata na wateja kujiridhisha ugumu au ulaini wake. Sahani za vyakula, nyuma (uma), vijiko, vikombe...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

    Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM. Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wapewa kazi ya kuwashughulikia wanaopandisha bei ya vyakula kwenye mfungo wa ramadhani

    Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500. Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa. Majaliwa ameyasema hayo leo...
Back
Top Bottom