Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Poleni na majukumu wadau,

Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula

Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile.

Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano hadi unatamani dunia nzima ijue kuwa uko in love na unaenjoy. Sasa kuna kile kipindi cha maumivu, mateso hapa ni baada ya kuachwa, wenye mioyo midogo walokosa wa kuwafariji huwa wanaishia kujiua, hichi kipindi unaeza ona dunia imekutenga maana hata chakula huwa hakipiti

Nina iman wengi tumepitia kipindi hiki huwezi sema ulikua huli kabisa ila kuna vyakula flani automatic huwa havipiti kooni, share na mi we ulivyokutana na situation kama hii ulikua unakula chakula gani hasa?

Hujawahi kupenda kama hujawahi kulia
 
Hali hiyo ilinitokeaga likizo ya kumaliza form six nilipopigwa kibuti na bint m1 ambae kipind tuko shule tulikuaa tunaandikiana saana barua yani...kosa lilikua mimi kuomba gemu..nilikua bikra so nkaona pakuponea ndo hapo..si dogo akasema simfai nataka mchezea..yeye hadi ndoa..na hanitaki tena mi muhuni..dogo mwenyew nae alikua bwege tu..wa mary goreth..bwege tu...ila sikupata hamu ya kula siku 3..

Ndo lilikua tukio la kwanza na mwisho ku feel hvyo
 
sikujuaga kama Kuna vyakula vya breakup.

Naendelea kusoma comments
KFC,BURGHER,PIZZA,FRIED CHIPS,CAPUCHINO COFFEE,CARRIBEAN FRIED BANANA,SWEET WINE/DRY NA FOIL(MEAT) AU NA ROASTED PORK(FRIED PORK IF U DESIRE).


( KAMA HELA ZIPO )


kama mwenzangu na Mimi,huna mbele wala nyuma,


Nenda kanisani/msikitini


Omba Mungu akufanye uwe bize au uongezewe cheo kazini,upate mpunga wa kutosha na kuwa bize zaid.
 
KFC,BURGHER,PIZZA,FRIED CHIPS,CAPUCHINO COFFEE,CARRIBEAN FRIED BANANA,SWEET WINE/DRY NA FOIL(MEAT) AU NA ROASTED PORK(FRIED PORK IF U DESIRE).


( KAMA HELA ZIPO )


kama mwenzangu na Mimi,huna mbele wala nyuma,


Nenda kanisani/msikitini


Omba Mungu akufanye uwe bize au uongezewe cheo kazini,upate mpunga wa kutosha na kuwa bize zaid.
😂😂😂😂 Nitafute tu pesa ili nikiachwa nikule ivyo vyakula vizuri vizuri🤣🤣🤣🤣
 
Jitoe out bana kula/ fanya kitu roho inapenda.

Mapenzi ya kujitesa na mawazo yalipitwa na wakati.

Binafsi cheese loaded fries with jalapenos augers well, huge chocolate bar and some club bangers za Nigeria do me so good.

Not to mention hapo most definitely nimeshaenda shopping so I have new clothes on, new hairstyle and almost always new sneakers. Hunikuti na chozi ng'o. *****.
 
Back
Top Bottom