Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga amefanya ziara katika Kituo kidogo cha Kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 2, 2023
Akizungumza baada ya kukamilisha ziara hiyo Naibu Waziri amesema Kituo hicho chenye mitambo mitano inayozalisha Megawati...
Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza.
Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu.
Watu wao wako very seriously...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
ceo
gerson msigwa
hongera
katibu
maharage
mara
michezo
mkuu
mpya
msigwa
rais samia
sana
sanaa na michezo
tanesco
umeanza
umekatika
umeme
utamaduni
uteuzi mpya
vizuri
wizara ya utamaduni
Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii.
Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting.
Binafsi moja ya vitu...
Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito.
Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums.
Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.
Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani?
Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika.
Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
Kuna sehemu nimeona Putin amelazimika kuita kikao cha ghafla maana haimuingii akilini namna wanajeshi wake wanaachia maeneo na kuikimbia moto wa Ukraine.....yaani haelewi ukifanya mchanganyiko wa storm shadow, cluster bombs na HIMARS haviwaachi wanajeshi salama.....
US officials told CBS News...
Wakuu,
Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi.
Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila mtu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena.
Power has gone to the head, mama hasikilizi...
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.
Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.
Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.
Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa...
Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu wengi.
Msaada wa kujua ukweli wa jambo hili.
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.
Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako.
Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake?
Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s
0743781910
Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.