Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,288
9,923
Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni
mshambuliaji bora anayeweza
kucheza kwa maelekezo na
kuisaidia timu, hivyo hawezi
kumuacha nje kizembe.

Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa akifanikiwa kucheza kwam aelekezo yake kwa kutumia mudam wingi kukaa ndani ya eneo la wapinzani faida ambayo imewapan afasi ya timu hiyo kufunga mabao."Sikiliza, ni kweli naiona hiyo hali,mashabiki waje uwanjani kuangalia Simba inacheza mpira vizuri. Kwangu Bocco bado ni mshambuliaji mzuri kwani anakwenda kufanya kilen inachokitaka afanye,” alisema Robertinho na kuongeza;

"Hata katika mechi dhidi ya
Dynamos (Power) aliingia akafanyan ilichotaka tukapata bao lililosaidia kutuvusha makundi na leo (juzi) nimempa nafasi ya kuanza amefunga tena, lakini akawafanya mabeki wa Prisons kwa muda mwingi kubaki nyuma, nataka mshambuliaji wa aina hii anayekaa muda mrefu eneo la hatari la mapinzani na hili ndicho anafanya Bocco huyu bado ni bora kwangu.”
Kocha huyo alisema anao
washambuliaji wengine kama Jean Baleke na Moses Phiri ambao nao ni Mazuri kwa kukimbia pembeni
lakini wamekuwa hawajaweza
kucheza kwa nidhamu kama
anavyofanya Bocco.
"Nimezungumza na Bocco
nimemwambia aachane na mambo
ya mashabiki anisikilize mimi kama
kocha wake, mashabiki wanataka
ushindi hesabu zetu ndio
zitakazowapa furaha, unaona
amefunga wamenyamaza nataka
aendelee kufanya hivyo hivyo kila
mara kwani nitaendelea kumtumia,”
alisisitiza Robertinho aliyefikisha
jumla ya mechi 15 bila kupoteza
katika Ligi Kuu Bara.
 
Sawa
 
a38a2132b38a03c6b429e0a9d0323ab3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ule upumbavu anao fanya boko uwanjani natamani aumie akae nje msimu mzima, hana msaada tena zaidi ya kuikaba timu tuu, boko akiwemo uwanjani timu inakua inacheza pungufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom