DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,037
- 45,610
Kila dakika kila saaa kuwa mtu wa kushukuru , hapa utatumia ile kanuni ya the power of Gratitude kwamba unapozishukuru hela zako Basi MAZINGIRA yako ya Kupata hela yanaanza kuwa marahisi
Shukuru kuhusu Afya yako kila Muda kila saaa kila dakika kila sekunde.
Ruhusu MSAMAHA kwa kila Mtu hapa utawazuia wale maadui wapendao kukudhuru Mwili na roho na wataanza chukua silaha na kukulinda wewe they will turn from enemies into friends
Jifunze kujitamkia maneno mazuri na kuwatamkia watu maneno mazuri nadhani hapa Kuna Mada ilipostiwa hapa kuhusu the power of subconscious mind hapa unaweza pafanyia Kazi.
Hakikisha yale usiyoweza kuyanena kwa watu basi usiyanene hata sirini.
Mwisho hakikisha unakuwa na abundance mindest hapa hakikisha Akili yako inawaza Sana katika kutopungukiwa hii itakufanya kuamini MAFANIKIO na vitu Vizuri kila Mtu anaweza kuvipata na utaondoa scarcity mindest na kuondoa hofu ya kukosa hii itakufungulia njia ya mambo Mengi Sana.
Hakikisha unapokuwa katika kipindi Cha raha kuwa mtu wa kuomba utulivu Sana ili usije ukakufuru na kufanya dhiaka .
Fahamu tu Maisha ya kiroho ndo MAISHA mazuri Muda wote yatakayokupa Thamani hapa Duniani na hata baada ya kuondoka hapa Duniani.
Kumbuka kila kitu kinahitaji kukipa Nguvu Kuna vitu haviongei Ila sio kwamba havisikii ndo maana Mtu anayelishukuru shamba lake kila apandapo mazao na kuvuna huwa anapata mazao Makubwa kwa kutumia Nguvu ndogo , so hii ni moja ya Siri katika MAISHA hata Binadamu Mtu yule amabaye ukimpa kitu akaonesha hali ya kushukuru huwa inatia faraja ya kuona kuwa Siku ukipata zaidi utampa zaidi .
Shukuru Afya yako
Shukuru pesa zako hata Kama ni ndogo
Kuwa na abundance mindest
Vaa Mwanga ndani yako
Watamkie watu maneno mazuri na wewe jitamkie na maneno mazuri na jiwazie mema Muda wote .