Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,688
- 106,830
Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting.
Binafsi moja ya vitu vinavyonivutia zaidi nikiwa naangalia muvi hua ni uandishi wa script na jinsi wanavyoigiza, yaani wanaongea vizuri na dialogues zao zinavutia...wanavyoact utadhani ni maisha halisi. Lakini angalia baadhi ya muvi usikie wanavyoongea yaani unaona kabisa mtu anaongea kitu alichokariri. Anagalieni maigizo kama The game of love, Saradini na menhine mengi tu ya musa banzi utajionea.
So katika uzi huu ningependa watu waorodheshe muvi walizotazama dialogues za zikawavutia na jinsi wanavyoigiza.
1: Game Of Thrones
Binafsi sidhani kama kuna muvi au series duniani iliyoandikwa vizuri kama hii yaani wakiwa wanaongea majibishano yao huwezi wachoka kuwasikiliza. Nimeshaitazama hii seriwa zaidi ya mara 200+ ila kila nikiitazama unaona mpya coz dialogues zimesima...akili kubwa ya bwana David Benioff na D.B.Weiss ilitumika.
Nitaendelea kuweka diologue na majina ya muvi zilizoandikwa vyema.
NB. Kila nikipata muda nitakua naweka series nilizotazama zikanivutia uandishi wake. So usikae mbali na uzi huu.
Karibuni...