vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vituo vya watoto yatima: lisiwe lango la ushoga, tafadhali

    Kwa jina la misaada, Hawa ndugu zetu wanaweza kupenyeza agenda Yao huko. Ni ushauri tu. Kama kweli hatuutaki ushoga vituo hivi vichunguzwe shughuli zao Kwa ukaribu Sana. Na Aina ya misaada wanayopokea, NB: Hasa volunteers wanaofanya kazi humo, Ni mtihan huenda wakaleta mambo Yao Kwa Hawa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema inajenga vituo vingine vitatu vya Nishati ya gesi ya magari

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023. Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
  5. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Je, wafanyabiashara wenye vituo vya mafuta wanataka kuficha mafuta?

    Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MSD yasambaza vifaa tiba vya zaidi ya Tsh 930m katika Vituo vya Afya 24 vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna siri ya mafanikio ya Yanga kwa kusaidia vituo vya watu wenye uhitaji maalum?

    Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuwe na muwakilishi wa BAKITA kwenye vituo vya Redio

    Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili. Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi vigezo apate ithibati ya Baraza. Walau kwa vile vituo vya rediuo vyenye Wasikilizaji wengi. Kazi yake...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu? Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana! Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Vituo saba vya Afya, Zahanati vyaanza kutoa huduma Wilayani Mbogwe

    Katika mkakati wa Serikali kuboresha huduma za afya nchini, vituo saba vya afya, zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita, leo Jumanne Oktoba 10, 2023; vimeanza kutoa huduma baada ya kufunguliwa rasmi. Akizungumza wakati wa halfla ya ufunguzi huo iliyofanyika katika Kituo...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuvifunga Vituo Binfasi vya Kulelea Watoto ili kudhibiti Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo lilitarajiwa kufanyika katika kipindi cha miaka 8. Kenya imekuwa katika mipango ya kuzifunga Nyumba...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EWURA yavifungia vituo v3 vya Mafuta, yatoa onyo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imevifungia vituo vitatu vya mafuta kwa miezi sita baada ya kubainika vilificha mafuta kati ya Julai na Agosti 2023. Vituo hivyo ambavyo vipo katika mikoa mitatu tofauti vimekumbwa na shubiri hiyo baada ya kuthibitika vilificha mafuta...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
Back
Top Bottom