vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

    Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu. Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tume ya Hakijinai kukagua Vituo vya Polisi, Magereza, kuhoji Wafungwa, Wananchi na Askari

    JF SUMMARY Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini. Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Uokoaji Maziwa Makuu Kujengwa Nchini

    Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC), imeeleza kuwa inatarajia kujenga vituo vya uokoaji katika Maziwa Makuu nchini ili kusaidia katika tahadhari na uokoaji pindi yanapotokea majanga kwenye vyombo vya usafiri wa majini. Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC, Kapteni Musa Hamza Mandia...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya sita vyajengwa Wanging’ombe ndani ya miaka miwili ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliipa sekta ya afya kipaumbele maana anajua afya ndio msingi wa Maendeleo hivyo amejenga na kuboresha vituo vya afya maana aliahidi kusogeza huduma ya afya karibu na wananchi. Rais Samia Suluhu Hassan ameimarisha utaoaji wa huduma za afya katika...
  5. Grahams

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  6. marehem x

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  9. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Kwanini risiti hazisumbui kwenye vituo hivi vya mafuta?

    Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu. Shida ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

    Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Vituo vingi vya kulelea watoto yatima vimekuwa ni sehemu ya upigaji

    Habari ndugu wana jamii forums wenzangu, Siku ya leo naomba niwasilishe hili tatizo ambalo nimeliona, nimekuwa ni mtu wa kujitolea kwa kile kidogo Mungu anachonibariki sehemu mbalimbali na kwa watu mbali mbali wenye uhitaji hapa nchini. Changamoto niliyoikuta au kuiona misaada inayotolewa...
  12. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali kwa watumishi wanaohama vituo vya kazi na utatuzi wake

    Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma. Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi. Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
  13. vibertz

    JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  14. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

    Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni kwamba. Vyanzo vingi vya Urusi vimeripoti kuwa Ndege mbili za kimkakati aina ya TU-95 zimearibiwa...
  15. Eleminator

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

    1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali. 2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
  18. Tman Clever

    JamiiForums Tanzania Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  19. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Vijue vituo vya Televisheni vya kimataifa vinavyoongoza kwa watazamaji wengi duniani

    1. CNN (US) 2. BBC (UK) 3. DW (GERMANY) 4. ALJAZEERA (QATAR) 5. RT (RUSSIA) 6. SKY NEWS (UK) 7. VOA (USA)
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
Back
Top Bottom