vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania 1998 sitosahau vituo vya polisi vilivyojaza watu bila sababu mpaka FBI walipokuja na kumpata wanayemshuku

    Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha ardhi. Tuja kaa vizuri redio na tv zinaanza kutangazia umma kuwa kuna shambulio limetokea ubalozini mwa...
  2. crome20

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  4. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Kijeshi vya shambuliwa huko Israel

    Israel anapigwa mande bila mate 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Starting two hours ago, Hezbollah launched a huge wave of attacks on Israel The entire occupied Golan Heights was under fire from hundreds of Hezbollah missiles. Dozens of settlements along the border, including the city of...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania hivi ni vituo ambavyo vina magenge ya CCM kimkakati kulinda watawala

    Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha Osterbay na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakuweka vituo vya kijeshi kwenye nchi alizozisaidia kupata uhuru?

    Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti. Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
  7. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vituo vya kilimo vya wilaya kutatua changamoto za wakulima

    Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
  8. pro12membe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa hivi Kuna vituo zaidi ya 1,324 kama hiki vinaendelea na ujenzi nchi nzima

    Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja. Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa uanzishwaji wa Vituo vya Ubunifu wa Teknolojia Vijijini

    Utangulizi VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi zengine unafanyika kwa kiasi kikubwa. Lakini pia maeneo ya vijijini kwa kiasi kikubwa ndipo...
  13. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba ya Ibada iliyo karibu na Kituo cha Afya ZAMZAM katika Manispaa ya Bukoba ni KERO kwa wagonjwa

    Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa wagonjwa. Mamlaka zinapaswa kuingilia kati hali sio nzuri kwani usumbufu ni mwingi sana kwa wagonjwa...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

    Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
  16. chakii

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mkalimani wa lugha ya alama iwe lazima kwenye vituo vya Televisheni

    Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu. Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  18. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tulibomoa nyumba za wananchi Kimara -Mbezi ili matajiri wajenge vituo vya mafuta? Je, hivi vituo vingi kiasi hiki vinapataje kibali?

    Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi huu. Lakini pia naamini haya maeneo hayakutengwa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya mafuta lakini kwa...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
Back
Top Bottom