Y2K ilikuwa na vituko sana

Y2K ilikuwa na vituko sana

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,760
Reaction score
37,362
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo.

Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita ndugu zake wote na kuchinjwa kuku wa kutosha tukisubiri labda yesu anakuja ndio mwisho wa dunia.
Mwisho wa siku asubuhi tulijutia kuku tuliowachinja mwaka jana.
 
Kuna mzee aliuza Mali zake zote, trh 2 tukamzika futi 12

NB: Hii ni uongo 😎
 
kuna watu jf waliingia na kutoka siku hiyo hiyo

mghan​

New Member
Joined Sep 4, 2013
Last seen Sep 4, 2013
 
Back
Top Bottom