Nauza Vitabu vya GS vya maswali na majibu

ALPHA2012

Member
May 9, 2012
12
8
Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia kwa gharama ndogo sana. Karibuni sana na unaweza kuvipata kwa mawasiliano haya: 0744 627 333 au 0712 682 475.
 

Attachments

  • General Studies Books Cover.pdf
    667.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom