vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

    Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

    Sina mda na salamu. Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho. Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7. Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Museveni atangaze lockdown...
  4. JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono! Lissu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kiuchumi imeishia wapi?

    Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia. Je vita hii imekwisha lini maana...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Armenia walipigana vita ya Ottoman

    Hii ilikua mwaka 1895
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio na changamoto za China katika vita dhidi ya matumizi ya tumbaku

    Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Kamati ya afya ya taifa ya China (NHC) na Ofisi ya mwakilishi wa Shirika la Afya duniani (WHO) wakati wa maadhimisho ya 34 ya siku ya kupambana na matumizi ya tumbaku duniani, inaonyesha kuwa China ina watumiaji tumbaku zaidi ya milioni 300, na watu milioni 1...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Namibia wakipewa fidia ya € 1 bln, Tanzania inafanya nini kudai fidia ya vifo vya halaiki vya vita ya Maji Maji?

    Maji Maji in light of Namibia genocide SATURDAY MAY 29 2021 National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history. Photo by Kettengefangene Dar es Salaam. The memories about Maji Maji rebellion emerged among some...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

    Ndugu wana JF, Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

    Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo. Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio. Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona. Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

    Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Trump alipokuwa madarakani kulikuwa hamna vita na violence?

    Yaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo. Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza. Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel. I meant madarakani
  14. JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Mwinyi vita ya ‘Magabachori’

    Simulizi ya Mwinyi vita ya ‘Magabachori’ Summary Katika mfululizo wa simulizi za kitabu cha ‘Mzee Rukhsa; Safari ya Maisha yangu’ Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameendelea kuibua mambo yaliyomsumbua wakati wa utawala wake, likiwemo la mvutano wa wafanyabiashara nchini. Dar...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Shida ya Taifa letu ni vita kati ya ujamaa na ubepari. Tuchague moja kati ya hayo

    Soma hii hapa chini Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa na ndipo walipo tengana na Mwalimu akamwambia “tutabaki marafiki lakini niache niendelee na biashara...
  17. JamiiForums Tanzania Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda. Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania iligharamikia Uganda baada ya vita vya Kagera?

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Vita_vya_Kagera - Kutoka wikipedia inasemekana tanzania ilibidi kugharamikia uganda baada ya vita, ikiwa ni sharti kutoka OAU, japokua walikua wanajua yote tunayofanyiwa ila walitoa sharti ilo, kwa wenye uelewa nini zaidi juu ya sharti la OAU limetumia vigezo gan...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza vita dhidi ya vijana.

    Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera. Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba. Ile hotuba ya Jana,Mimi ningekuwa kijana ningekuwa na wasi wasi. Bado tu kusema kwamba atawafutia mashamba wakalime...
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

    Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…