Aimbe Gospel, aache kupromote maadili hasi.Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekua muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Hawajafaulu chochote.Wanaharakati Twitter wafaulu!
Wewe na werevu wako ila Mondi anaweza kukulisha wewe pamoja na ukoo wako wote!Huyu dogo ni bonge la mpumbavu aliye lewa sifa asizo kuwanazo, wajinga kama yeye ndio wanao msupport na kumjaza ujinga., pumbavuuu kabisaa
Kwa akili yako Mondi kashindwa sababu ya wana twitter?Kunguni wamesagwa wakasagika.nawasalim kwa jina la jamhuri ya tweeter
Lkn si uliona wakihimizana kupiga kura huko walikoshindaHawajafaulu chochote.
Wangefaulu ni pale angekua disqualified na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro.
Ni kelele tu za wanaharakati uchwara.