vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Gharama za fundi Kupaua nyumba hii ya flat roof(picha)

    Nawasalimu wanajamvi. Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti...
  2. B

    Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

    25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona...
  3. The Mongolian Savage

    Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

    Mzuka wanajamvi Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako. Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
  4. D

    Kwanini zile karatasi za vipimo vya mgonjwa zahanati binafsi huwa hairuhusiwi kuondoka nazo? Ni utaratibu sahihi wa tiba au ni uhuni?

    Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini! Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni? Wajuvi tujuzeni!
  5. Cannabis

    Mganga mkuu wa serikali aagiza majibu ya vipimo vya COVID-19 kutolewa baada ya saa 24

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi...
  6. Kurzweil

    Coronavirus: Matokeo ya vipimo 18,000 vya walioambukizwa COVID19 zachapichwa kimakosa

    Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo waliyopo pamoja na jinsia za waathirika. Ingawa watu wameondolewa wasiwasi kuwa si rahisi wahusika...
  7. M

    Vipimo vya UTI

    Habarini? Naomba kufahamu, je vipimo vya UTI vinaweza kuonyesha ujauzito? Na kama vinaweza je hata ujauzito wa siku tano unaweza kuonekana? Ahsanteni.
  8. 1987SANAWA

    Kutozingatia vipimo vya utendaji kazi kwa Taasis za umma

    Ofisi za umma/serikali zinatumia OPras kama kipimo cha utendaji kazi ambapo mtumishi anakubaliana na kiongozi wake majukumu atakayotekeleza jambo ambalo ni zuri, mtumishi anaetekeleza majukumu yake anapaswa kupewa motisha mbalimbali kama kupandishwa cheo na motisha zingine, ila cha kusikitisha...
  9. Yoyo Zhou

    VLOG: Jinsi vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona vinavyochukuliwa China

    Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya kimataifa. Je, China inafanya vipi vipimo hivyo? Kwa mfano wa mji mkuu Beijing, tunaangalia kwa undani...
  10. K

    Vipimo vya ulevi BAC

    Tuondoe siasa na tutumie sayansi. Polisi wana kipimo cha kupumua na hospitali wanapima damu. Yaani Dr huwezi kusema mtu kalewa tu hovyo maana dawa nyingi haziendani na pombe ni lazima ujue kalewa kwa kiasi gani kisayansi kabla ya kutoa dawa. Kama mtu alikuwa chakari basi watueleze ilikuwaje...
  11. Cannabis

    Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  12. Miss Zomboko

    Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa. Mkuu wa Wilaya...
  13. Course Coordinator

    Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

    Wasalam Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam. Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo ,wakaanzisha mahusiano kama miezi kadhaa kwa vile nurse alikuwa mbali na yeye alikuwa anamueleza kuwa...
  14. Miss Zomboko

    Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  15. F

    Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  16. J

    Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

    Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama. Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
  17. Jay One

    CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19

    Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale. Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake...
  18. Return Of Undertaker

    CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

    AFRIKA CDC: VIPIMO VYA #CORONAVIRUS VINAVYOTUMIKA TANZANIA VINAFANYA KAZI VIZURI Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Afrika CDC) amenukuliwa na Reuters akipinga madai ya Rais Magufuli kuwa huenda vipimo vya #CoronaVirus nchini vina shida ya kiufundi Dkt. John Nkengasong...
  19. Victoire

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
  20. GUSSIE

    Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
Back
Top Bottom