25 January 2021
Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi.
Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona na kuzuiwa kuichezea timu yao jijini Dar es Salaam ktk kuwania kwenda ngazi ya makundi ya michuano ya timu bingwa Afrika mashindano ya CAF.
Majibu ya vipimo vya Tanzania vinatofautiana na vya Zimbabwe, timu ya FC Platinum imedai. Timu za APR FC ya Rwanda, KCCA FC ya Uganda na Asante Kotoko SC ya Ghana pia zimelaumiwa na timu pinzani ktk michuano hiyo ya CAF kwa majibu ya vipimo vya Covid-19.
Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania TFF na timu ya Simba S.C walipotafutwa walisema hawawezi kujibu suala hilo la kitabibu na afya kwa sasa.
Source : CGTN Africa

Pia timu ya Plateua United ya kutoka mji wa Jos jimbo la Plateau Nigeria, wachezaji wake walipatikana na majibu ya utatanishi waliopokuwa nchini Tanzania hivyo baadhi yao kushindwa kuchezea timu yao ktk mechi ya ugenini Dar es Salaam lakini waliporejea Nigeria vipimo vilikuwa tofauti. Timu ya Plateau United imepeleka barua ya malalamiko CAF juu ya kadhia hiyo huku wakisema walichukua tahadhari kwa kupeleka vipimo ktk hospitali ya private nchini Tanzania ambapo pia majibu yalikuwa tofauti na yale ya Maabara ya Tanzania.www.chronicle.co.zw › horror-i...
Horror in Tanzania as 5 FC Platinum players test 'positive' for Covid-19 ...
6 Jan 2021 — Horror in Tanzania as 5 FC Platinum players test 'positive' for Covid-19 …results are first availed to Simba SC.
Majibu ya vipimo vya Tanzania vinatofautiana na vya Zimbabwe, timu ya FC Platinum imedai. Timu za APR FC ya Rwanda, KCCA FC ya Uganda na Asante Kotoko SC ya Ghana pia zimelaumiwa na timu pinzani ktk michuano hiyo ya CAF kwa majibu ya vipimo vya Covid-19.
Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania TFF na timu ya Simba S.C walipotafutwa walisema hawawezi kujibu suala hilo la kitabibu na afya kwa sasa.
Tanzania: Simba S.C. accused of falsifying COVID-19 results
In Tanzania, accusations of tampering with COVID-19 results levelled against league winners, Simba S-C during their CAF Champions League showdown with F-C Platinum of Zimbabwe have elicited mixed reactions. Here's CGTN's Isaac Lukado with that story.Source : CGTN Africa