vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Wanaume wanaotafuta vipimo vya DNA waongezeka nchini Uganda

    Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
  2. benzemah

    Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  3. N

    Serikali imeondoa gharama za vipimo kwa wajawazito

    Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
  4. B

    Serikali yafanikisha Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bure

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
  5. Kwitogelo

    Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

    Habari za humu ndani? Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani) Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
  6. Mr kenice

    Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  7. ERTUGRUL BEY

    Vipimo vya DNA vipatikane Kirahisi, hii itasaidia Kuleta Nidhamu Katika Ndoa

    Vipimo hivi vimekuwa ghari Sana na hata kupatikana kwake kuna mlolongo mrefu Kwa mujibu wa taarifa ambazo tunazisikia,na inasemwa kuwa mara nyingi wahusika wanalofanya hilo zoezi mara nyingi hawatoi majibu halisi Kwa kuhofia ndoa kuvunjika. Kama kweli tunataka jamii ambayo itawajibika Kwa...
  8. BARD AI

    Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  9. JanguKamaJangu

    Cameroon: Wachezaji 21 kati ya 30 wa timu ya U17 wafeli vipimo vya umri

    Vipimo hivyo ambavyo wanapimwa viganja na mifupa (MRI) vimebaini wachezaji hao wamezidi umri unaotakiwa katika kikosi cha Chini ya Umri wa Miaka 17, na hivyo kuondolewa kikosini, wakianza harakati za kutafuta watakaochukua nafasi hizo. Uamuzi wa kuwapima na kuwaondoa kikosini umetolewa na Rais...
  10. T

    Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

    Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
  11. Kingsmann

    Clara Luvanga aitwa na FIFA kwa Ajili ya Vipimo

    Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri. Huyu...
  12. Idugunde

    Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  13. Ryder2

    Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  14. MOONFISH

    MADAKTARI: Vipimo vya UTI kama ni hivi ni balaa

    Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali mbalimbali, ili kuthibitisha malalamiko ya Mwanahamisi. Jaribio la kwanza ‘‘Saa 6:30 mchana natoka Mabibo...
  15. BARD AI

    UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    “Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
  16. M

    Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

    Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya. Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani. Sasa huyu...
  17. A

    Vipimo vya Ramani hii

    Habari wakuu. Mwenye vipimo vya hii ramani naomba
  18. DR HAYA LAND

    Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  19. JanguKamaJangu

    Huu ndio utaratibu wa kufanya vipimo vya DNA kutambua kama mtoto ni wako au la!

    Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi. Wakili Bashir...
  20. royal tourtz

    Mtu anayetumia ARV kwa muda mrefu virusi huwa havionekani kwenye vipimo vidogo?

    Kwa manufaa ya tusiojua na wanaojuwa watuhakikishie zaidi. Iko hivi hapa kazini kwangu jirani kuna duka la madawa,hivyo dada muuza dawa huwa tunapiga story za hapa na pale kiasi. katika story tukajikuta tunaongelea maambukizi ya UKIMWI. ndio nikamuuliza inawezekana kuna watu wanaleta dawa za...
Back
Top Bottom