vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  2. Magonjwa Mtambuka

    Ukiona wanavyotamba hapa utafikiri vipimo vimepamba moto

    Kumbe mzaha mwingi tu. Oh tunapima nchi nzima sijui nini, halafu mambo yenyewe ni fujo tupu, duh.
  3. S

    Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  4. Corticopontine

    CHINA: Tumebuni mfumo wa kupata vipimo vya CORONA ndani ya dakika 15

    China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika...
  5. Roving Journalist

    Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  6. Cobra70

    Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  7. polokwane

    Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

    Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu Nawasilisha.
  8. Dr Norman

    Fahamu vipimo mbalimbali vya picha vinavyotumika hospitalini kuchuguza magonjwa

    Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini. NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani. 1. KIPIMO CHA ULTRASOUND Ultrasound ni kipimo...
Back
Top Bottom