viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

    Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini. Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za...
  2. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Dhana ya “Maadili kwa viongozi wa Umma”

    Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi Hutumika kuongoza mahusiano kati ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Bodi za Kitaaluma, Vyombo vya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA tusaidieni kuweka mambo sawa. Baraza Kuu ndio hufukuza wanachama?

    Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama? Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya Chadema bado inawatambua akina Halima. Naomba tupewe ufafanuzi, kama kamati kuu ya Chadema ilisafukuza...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Matamko ya viongozi kuhusu ajira hayatekelezwi

    Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo. Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu. Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Senzo alikuzwa sana kiuhalisia hamna kitu. Viongozi wetu wanaongea pembeni ila hawawezi mwambia Usoni

    "yanga hii haina tofauti na yanga ile ya bila senzo. Viongozi tukikaa nao wanalalamika kuwa jamaa hana mchango,msaada wowote na hata walimwajiri ni kama wanashindwa wafanye nini naye. anapenda sana starehe ila kiutendaji hana jipya hasa kwa sasa anaonekana kuwadharau wote na kujiona yeye pekee...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Mahakama, wabunge na viongozi wakuu wa serikali awalipi Kodi?

    Nchi yetu inakautawala kaajabu kwelikweli, watu wanaopaswa kuwa mfano mzuri wa ulipaji Kodi ndio waliozuiliwa na sheria kulipa Kodi. Watu wanaolipwa vizuri awalipi Kodi. Watu wanaopaswa kuwatetea na kutunga sheria nzuri kuhusu Kodi awalipi Kodi. Watu wa aina hii wanawezaje kujua uchungu wa Kodi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini dua zenu kwa wanasiasa zimejaa machukizo na unafiki

    Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani. Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi. Mtu...
  14. instagram

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna protocol za ovyo kabisa kwa Viongozi wetu

    Yaani kiongozi anashuka kwenye gari anazungukwa na minders zaidi ya hamsini wengine wananing'inia kwenye milango, hadi kiongozi anaenda kukaa jukwaani kaambatana na minders zaidi ya 20 wanamzunguka hadi anakaa na bado kuna wanamsimamia kwa nyuma, kwa hatari gani aliyokuwa nayo kiongozi wa nchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  16. mama D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  18. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kinondoni, tanuri la kupika viongozi

    Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao 1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadaye kuwa mbunge wa Kawe na kuteuliwa na hayati Benjamin Mkapa...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda mbona hatuulizii nyumba ya Tsh milioni 60 walionunua viongozi wetu Serengeti?

    Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma. Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha tu Mnyika hataki kutuonyesha? Tuwe tunahoji bila uoga
Back
Top Bottom