So ni vizuri public ikajua na pengine hata kuamua walipwe shilingi ngapi?Ni haki yetu..mana wanaishi kwa kodi zetu..kuficha mishahara yao ni dalili moja wapo ya upigaji..wizi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Naafiki hoja, asiyeweza aachie ngaziSo ni vizuri public ikajua na pengine hata kuamua walipwe shilingi ngapi?
Ni haki yetu..mana wanaishi kwa kodi zetu..kuficha mishahara yao ni dalili moja wapo ya upigaji..wizi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo suala la kuamua walipwe shingapi haliwesekani. unajua why?So ni vizuri public ikajua na pengine hata kuamua walipwe shilingi ngapi?
...zso, mshahara ni siri kati ya Muajiri na Muajiriwa huh?hilo suala la kuamua walipwe shingapi haliwesekani. unajua why?
uta viongoz wanaochaguliwa ndio wameasis na hakuna ambae atakubali hilo.
mshahara ni siri btn muajiri na muajiriwa. ndio maan serikal inapotangaza nafasi yoyote wanaweka code. si mshahara
Kwa mtazamo wako unaona je iwe siri au hadharani wewe unasemaje kuhusu hili?hilo suala la kuamua walipwe shingapi haliwesekani. unajua why?
uta viongoz wanaochaguliwa ndio wameasis na hakuna ambae atakubali hilo.
mshahara ni siri btn muajiri na muajiriwa. ndio maan serikal inapotangaza nafasi yoyote wanaweka code. si mshahara
ibaki kama ilivyo. maana hata ukijua hakuna kitu utaweza fanya.Kwa mtazamo wako unaona je iwe siri au hadharani wewe unasemaje kuhusu hili?
Not fair kwanini watumishi wengine mishahara yao inakuwa hadharani kama walimu madaktari n.k halafu wengine inafichwa kuna kitu gani kinafanya ifichweibaki kama ilivyo. maana hata ukijua hakuna kitu utaweza fanya.
siku ukijua hiyo kiasi mtaandamana na huta amini ndio wal wabunge WABAKULA MILIONI 15 ALAFU HAWANA SWALI KWA WAZIRI MKUU, YANI HATA KUULIZIA KIWANDA CHA TOOTHPICK KWANINI KISIJENGWA IRINGA KWENYE MITI hawana.Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
walimu na madaktari mishahara yao huwa inatangazwa public? wanapotoa tangazo la kazi kuwa wanaaindika codes au hela plain?Not fair kwanini watumishi wengine mishahara yao inakuwa hadharani kama walimu madaktari n.k halafu wengine inafichwa kuna kitu gani kinafanya ifichwe
Rais alisema wake ni 9.5 millKuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
Hahaa! CCM wanatukosea sana wananchisiku ukijua hiyo kiasi mtaandamana na huta amini ndio wal wabunge WABAKULA MILIONI 15 ALAFU HAWANA SWALI KWA WAZIRI MKUU, YANI HATA KUULIZIA KIWANDA CHA TOOTHPICK KWANINI KISIJENGWA IRINGA KWENYE MITI hawana.
Umeona eeehHahaa! CCM wanatukosea sana wananchi
Ndiyo usanuke sasa kua unapigwa!!...Huwa siishwi kushangazwa, hivi inakuwaje mtumishi uliyemuajiri kwa kura na kodi yako mwenyewe, mshahara wake uwe siri kwako wewe muajiri wake??
Tena ndiyo kwanza utazidi kuumia! The less you know the better!!ibaki kama ilivyo. maana hata ukijua hakuna kitu utaweza fanya.
Sio tu uwe hadharani, awe wa kwanza kulipa kodi. Nchi pekee ya hovyo duniani, wanaopaswa kulipa kodi hawalipi, wanaopaswa kushitakiwa hawashitakiwi. Mtu anasema ninyi nitawalinda kama vile anamiliki silaha za ulinzi na yuko huru kabisaibaki kama ilivyo. maana hata ukijua hakuna kitu utaweza fanya.