vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana mwaka huu tunalo

    Kila angle vijana tumekabwa.Ni hatari.
  2. JamiiForums Tanzania Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

    Kwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  5. JamiiForums Tanzania Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wanaoenda mijini na kudandia mtumbwi wa vibwengo

    VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini Halikadhalika na...
  11. JamiiForums Tanzania CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  16. JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  17. JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

    Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo. Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
  18. JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
  19. JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

    Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi tulipokuwa vyuoni, tulikuwa tunajiona kwa picha mbali mbali za kufikilika, unajiona ukiwa unazunguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…