vijana

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
  5. Pain 01

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoenda mijini na kudandia mtumbwi wa vibwengo

    VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini Halikadhalika na...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

    Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo. Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
  15. Sidee01

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
  16. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  17. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana ambao hamjawahi kuajiriwa

    Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi tulipokuwa vyuoni, tulikuwa tunajiona kwa picha mbali mbali za kufikilika, unajiona ukiwa unazunguka...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

    Hello! Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 36 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa. Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine...
  19. Termux

    JamiiForums Tanzania Vijana na afya: Tufike miaka 90+

    Babu yangu is now 90+, alipataga stroke lakini aliwahiwa ikapona kabisa sahiv anakata majani analisha ng'ombe zake mzima kabisa. Kwasababu ya umri tu, masikio yana shida lakn ukiongea kwa sauti anakusikia na stori zinaendelea vizuri tu... Nikamuuliza babu Zaman mliishije (chakula) akasema...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
Back
Top Bottom