vijana

  1. B

    SoC03 Vyuo vya ufundi na VETA ndio mkombozi wa vijana Tanzania

    UTANGUZILI. Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
  2. Mangi shangali

    "Vijana taifa la kesho" ilivyoharibu akili za vijana..

    Habari zenu.. Ule msemo wa vijana taifa la kesho ulivyopelekea taifa kuwa na umasikini wa kutupwa.. Ebu fikiria ndugu yangu asilia kubwa ya watu hapa tanzania ni vijana,kwanzia miaka 15-45 then taifa linasema vijana ni taifa la kesho daah tulikuwa na viongozi wa ovyo sana. Huwa najiulizaga...
  3. M

    Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  4. Stephano Mgendanyi

    Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana

    Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda...
  5. jastertz

    Kwanini vijana wa sasa hawataki uhusiano wa muda mrefu

    Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza, wanatafuta njia ya kupenda na kufanya...
  6. DR HAYA LAND

    Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

    Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji. Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa. Elimu yenu mnayotoa katika...
  7. F

    Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

    Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno. Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu...
  8. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  9. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  10. Kalaga Baho Nongwa

    Ifike mahala vijana wenzangu tukue na tujifunze kuvikubali vilivyo vyetu na tuvipende

    Juzi nimesikitika mnoo. Koloz wameolewa lakini kiunaume, mnajidanganya wazee kuolewa kuolewa tu. Hongereni pia kuiwakilisha Afrika Mashariki ma kati na kwa hatua ile mliyofikia Kyle Moroko. Nina hakika hata hili la NbC hapa kwetu mtalisikia kwenye Bomba. Leo nina machache sana ya kushea, Moja...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wakiume wapewe Elimu ya kuishi na wanawake waliowezeshwa (Empowered women)

    Anaandika, Robert Heriel Ipo haja ya kuundwa Kwa program maalumu ya kuwapa Elimu vijana wakiume ya namna ya kuishi na Wanawake waliowezeshwa(Empowered women). Zamani tuliambiwa tuishi na Wanawake Kwa Akili Wakati Wanawake wenyewe hawakuwa Empowered, vipi sasa hivi wakiwa wamewezeshwa...
  12. Carlos The Jackal

    Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo 👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi ...
  13. Stephano Mgendanyi

    Uwekezaji wa Rais Samia Katika Kilimo una Dhamira ya Kuzalisha Ajira kwa Vijana

    UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya programu ya Boresha Kesho Iliyo Bora...
  14. N

    Rais Samia anaendelea kuwapa vijana kipaumbele sasa wafugaji wamefikiwa

    Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo baada ya mafunzo kila mshiriki atapewa mtaji wa TZS Milioni 10. Kuwapa vijana ujuzi na mitaji...
  15. Rwetembula Hassan Jumah

    Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

    Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe. Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
  16. M

    Tuwaelimishe vijana wanaoajiriwa sasa kwenye Utumishi wa Umma kuhusu haki na wajibu wao!

    Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji watekelezaji wa adhima hiyo ya serikali hasa kuhusu eneo la haki na stahiki za waajiriwa wapya. Mara...
  17. Nigrastratatract nerve

    Kama 77% ya Watanzania ni vijana chini ya Umri wa miaka 35 shida kubwa ya umasikini wetu ni kuongozwa na wazee

    Kwanini wazee wenye umri mkubwa ndio wanatuongoza lakini si vijana ambao ndio wengi katika Taifa letu?
  18. Mganguzi

    UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  19. aka2030

    Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

    Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa. Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu...
  20. Rwetembula Hassan Jumah

    Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
Back
Top Bottom