Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
418
Reaction score
699
Kwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.
FB_IMG_1697397844315.jpg
 
Event moja hivi majuzi Chris Mauki na wenzie wanafokea vijana ,mfoko foojji plus ..

Sasa nikajiuliza mfoko huo niaje ni gani , papai halizai chungwa litazaliwa papai tuu . Kajamaa kamoja kapo kwenye mradi wa Bibi tiki kakawa kamepewa chance meza kuu pale basi ndo kupondea as if kenyewe NJ kazee damn it.


Kama kufail wamefeli hao wazee Kwa mifumo Yao mibovu ya malezi .


Mizizi haipo deep upepo lazima utuyumbishe.
 
Back
Top Bottom