Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,230
22,308
Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na USISEME UONGO.

Wakati labda kina Hitler, Herode, Yuda, Bokasa na makatili wengine kama wataingia motoni itakuwa kwa sasabu zenye uzito lakini hiki kizazi cha amapiano kinaweza kuadhibiwa kwa mambo ya kijinga. Tutazame mambo kadhaa ya kipumbavu yanayofanywa na wengi kwa sasa;

1. KUTAMKA MATUSI KIHOLELA.
Hili la kutamka matusi limeota mizizi. Shetani kagundua namna nyingi ya kusaidia wafuasi wake kutamka matusi katika hali isiyoleta taharuki. Siku hizi ukienda kutazama mpira uwanjani au Bar ni kawaida sana watu kutamka matusi ya nguoni katika namna iliyoboreshwa. Kwa mfani K***mae inatamkwa *****. Na ile K***NINA inatamkwa MANINER. Baadhi hata wakiwa wanamsikiliza kiongozi wa dini hujikuta wanatamka "Q***make hii point kali sana".

2. UONGO
Hii dhambi ipo kwenye mambo mengi sana. Na pia imechangia marafiki wengi kuwa maadui. Imefikia point hata wasanii hutumia uongo kufanikisha agenda zao. Wenyewe wanaita KIKI. Hii dhambi imevunja na inaendelea kuvunja ndoa nyingi mno.

3. PUNYETO
Katika vitu ambavyo vimewahi kumkasirisha Mungu ni mwanaume kumwagia nje (Mwanzo 38). Dhambi ya punyeto itakula vichwa vingi sana siku ya mwisho. Nadhani mpiga punyeto akikutana motoni na mtu kama Mobutu aliyewahi kuchinja wanafunzi zaidi ya 200 anaweza kupigwa kwanza maana ni uzembe.

4. ZINAA
Inajulikana pia kama ngono. Tendo la ndoa nje ya ndoa. Lakini tofauti na wapenda ngono wa vizazi vingine nadhani kizazi cha Amapiano kinaweza kuwa na moto special kwa wengi wao kutaka kufurahisha nafsi zao kwa matendo ya ngono yasiyo ya kawaida (sexual fantasies). WANAOZAMA CHUMVINI nadhani watakuwa mstari qa mbele kabisa kuelekea motoni.

Ongezea zingine TUJIKUMBUSHE.
 
Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na USISEME UONGO.

Wakati labda kina Hitler, Herode, Yuda, Bokasa na makatili wengine kama wataingia motoni itakuwa kwa sasabu zenye uzito lakini hiki kizazi cha amapiano kinaweza kuadhibiwa kwa mambo ya kijinga. Tutazame mambo kadhaa ya kipumbavu yanayofanywa na wengi kwa sasa;

1. KUTAMKA MATUSI KIHOLELA.
Hili la kutamka matusi limeota mizizi. Shetani kagundua namna nyingi ya kusaidia wafuasi wake kutamka matusi katika hali isiyoleta taharuki. Siku hizi ukienda kutazama mpira uwanjani au Bar ni kawaida sana watu kutamka matusi ya nguoni katika namna iliyoboreshwa. Kwa mfani K*mae inatamkwa ***. Na ile K***NINA inatamkwa MANINER. Baadhi hata wakiwa wanamsikiliza kiongozi wa dini hujikuta wanatamka "Q***make hii point kali sana".

Kujiita ChawaWaMama ilali Mungu amekuumba ukiwa binadamu mwenye akili timamu, leo unaenda kujifananisha na chawa ili upewe 7,000/
 
3. PUNYETO
Katika vitu ambavyo vimewahi kumkasirisha Mungu ni mwanaume kumwagia nje (Mwanzo 38). Dhambi ya punyeto itakula vichwa vingi sana siku ya mwisho. Nadhani mpiga punyeto akikutana motoni na mtu kama Mobutu aliyewahi kuchinja wanafunzi zaidi ya 200 anaweza kupigwa kwanza maana ni uzembe.
Oyaa

yaani nife na utamu wangu napiga punyeto, kisha niwe chungu kimoja sawa na yule aliyekufa kwa ngoma akiishi kuunganisha vikojoleo maisha yake yote ?
 
Mimi naona vijana wa Tz chanzo Chao kikuu cha stress ni kuamini serikali ina pesa nyingi na inatakiwa kuajiri vijana wote wanaohitaji ajira ..
Kwa kuwa hili haliwezekani ndo chanzo cha msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili ...ndo matusi na hayo mengine yanafata....
 
Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na USISEME UONGO.

Wakati labda kina Hitler, Herode, Yuda, Bokasa na makatili wengine kama wataingia motoni itakuwa kwa sasabu zenye uzito lakini hiki kizazi cha amapiano kinaweza kuadhibiwa kwa mambo ya kijinga. Tutazame mambo kadhaa ya kipumbavu yanayofanywa na wengi kwa sasa;

1. KUTAMKA MATUSI KIHOLELA.
Hili la kutamka matusi limeota mizizi. Shetani kagundua namna nyingi ya kusaidia wafuasi wake kutamka matusi katika hali isiyoleta taharuki. Siku hizi ukienda kutazama mpira uwanjani au Bar ni kawaida sana watu kutamka matusi ya nguoni katika namna iliyoboreshwa. Kwa mfani K*mae inatamkwa ***. Na ile K***NINA inatamkwa MANINER. Baadhi hata wakiwa wanamsikiliza kiongozi wa dini hujikuta wanatamka "Q***make hii point kali sana".

2. UONGO
Hii dhambi ipo kwenye mambo mengi sana. Na pia imechangia marafiki wengi kuwa maadui. Imefikia point hata wasanii hutumia uongo kufanikisha agenda zao. Wenyewe wanaita KIKI. Hii dhambi imevunja na inaendelea kuvunja ndoa nyingi mno.

3. PUNYETO
Katika vitu ambavyo vimewahi kumkasirisha Mungu ni mwanaume kumwagia nje (Mwanzo 38). Dhambi ya punyeto itakula vichwa vingi sana siku ya mwisho. Nadhani mpiga punyeto akikutana motoni na mtu kama Mobutu aliyewahi kuchinja wanafunzi zaidi ya 200 anaweza kupigwa kwanza maana ni uzembe.

4. ZINAA
Inajulikana pia kama ngono. Tendo la ndoa nje ya ndoa. Lakini tofauti na wapenda ngono wa vizazi vingine nadhani kizazi cha Amapiano kinaweza kuwa na moto special kwa wengi wao kutaka kufurahisha nafsi zao kwa matendo ya ngono yasiyo ya kawaida (sexual fantasies). WANAOZAMA CHUMVINI nadhani watakuwa mstari qa mbele kabisa kuelekea motoni.

Ongezea zingine TUJIKUMBUSHE.
Mbona hayo yote wanafanya CCM?Motoni lazima muende hata kwa nguvu/kwa kuburutiwa motoni.
 
Mimi naona vijana wa Tz chanzo Chao kikuu cha stress ni kuamini serikali ina pesa nyingi na unatakiwa kuajiri vijana wore wanaohitaji ajira ..
Kwa kuwa hili haliwezekani ndo chanzo cha msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili ...ndo matusi na hayo mengine yanafata....
Kwani Kuna vijana wangapi wasomi wanaosuburia Ajira?
 
Back
Top Bottom