vijana

  1. Vijana sahauni kuhusu ajira, wenzenu wanafanikiwa kwenye biashara mbalimbali

    Nimefurahi sana nilipokutana na jamaa zangu tulimaliza chuo mwaka mmoja na wamefanikiwa kimaisha japo hawakuwahi kuajiriwa Mmoja aliamua kuwa bodaboda pamoja na digrii yake. Kwasasa amejenga nyumba mbeya mjini. Anazo bajaji kadhaa kaajiri vijana na analo duka kubwa la jumla. Mwingine yeye...
  2. INASIKITISHA! Wastaafu wageuka ombaomba, vijana tuwe makini

    ITV imeonyesha kilio cha Wastaafu wanaomlilia Mh. Rais Samia ili waongezewe pensheni kwani kwa Sasa wanalipwa TSH laki moja kwa mwezi! Wastaafu hao bila Shaka walikuwa wanakula Bata ujanani na kutokuwekeza Wala kuweka akiba, jambo lililokuja kuwagharimu uzeeni huku wengi wao wakikiri...
  3. Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  4. Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

    Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya: 1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako. 2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira. 3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani. Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi...
  5. Niwaonye Vijana wa humu JF,Ikiwa huwezi kupambana na UMUGHAKA acheni Midomo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama unajua kabisa huniwezi kiakili na kimapambamo (Ngumi) kwanini unichokoze?,Sometimes huwa nikiongea naonekana mbaya! Kijana mmoja sijajua ni KE au ME anayejiita Hance Mtanashati kwa mbwembwe nyingi alinifuata kwenye uzi wangu na kutaka kufanya...
  6. K

    Vijana wa kiume Tanzania wamekuwa slow tuwasaidie!

    Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi. Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni...
  7. Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani

    Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira viwandani ili waendelee kunufaika kwa pamoja na...
  8. Mwalunenge awapa ukweli Vijana wa UVCCM, awambia waache kuharakia maisha

    Na Mwandishi wetu Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni kujipotezea mwelekeo. Akizungumza na Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mbeya Mjini...
  9. Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  10. Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

    Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli. Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba...
  11. T

    Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

    Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua. Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu. Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
  12. Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  13. Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

    Hakuna salamu, nimekasirika sana Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
  14. R

    Serikali hasa TAKUKURU tuambieni nani amekula fedha za vijana wa timu ya taifa under 15? Wameshinda milioni 180 wamepewa elfu 20 wakatelekezwa na TFF

    Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa...
  15. M

    "Chawa watu" ni watu Wachafu

    Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka. Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
  16. Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo, Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA). Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali. Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo. Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada...
  17. Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
  18. Shetani anawapepeta vijana kadri atakavyo, vijana wanakufa wakiwa wadogo. Acheni dhambi vijana hamtatoboa

    Hello! Tangu kale na kale vijana, wazee, watoto na watu wa Rika zote wanakufa lakini sasa hii trending ya vifo vya vijana ina walakini. Nimetafakari kwanini vijana wanakufa sana, kijana anakufa anawaacha wazazi wake wakiwa na nguvu, kijana anakufa anawaacha bibi na babu zake wangali hai...
  19. Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  20. Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…