vijana

  1. Tesco Tesco

    JamiiForums Tanzania Vijana tumekuwa Watumwa, kutwa kuvaa tshirt za Kampuni huku kipato finyu

    Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Japan yatenga shs. Trillion 120 ili kushinikiza vijana kuzaa kwa wingi

    Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’. Maana yake wanashindwa hata...
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakakayo tutaipata kwa kuweka msingi bora wa malezi kwa vijana

    Malezi Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na wanaowajibika katika kuhakikisha kwamba tunasonga mbele. Malezi sizingumzii kwa watoto tu hata kwa...
  4. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  5. KijanaHai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hadithi ya kusikitisha na kufurahisha ya vijana wa Tanzania: Kutoka vijana walalamikaji mpaka watatuaji

    Hadithi ya kuhuzunisha Changamoto Za Vijana Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

    It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza CRDB Bank Foundation kuwawezesha kiuchumi vijana na wanawake wajasiriamali nchini

    Mkurugenzi wa Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Badru Abdunuru aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Data Sustainable...
  9. miamiatz

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu. Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujuzi na vijana

    Ujuzi ni kufahamu na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi. Kijana ni mtu kuanzia miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea kubwa. Hakika asilimia kubwa ya vijana wengi huwa tunanjozi na ujuzi mwingi tunapoanza hatua za maisha...
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la tatizo la upungufu wa ajira nchini

    Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

    Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo. 1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
  16. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania waibuka kidedea Mashindano ya TEHAMA Nchini China

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China. Vijana hao wenye ujuzi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
Back
Top Bottom