Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,741
- 17,995
ITV imeonyesha kilio cha Wastaafu wanaomlilia Mh. Rais Samia ili waongezewe pensheni kwani kwa Sasa wanalipwa TSH laki moja kwa mwezi!
Wastaafu hao bila Shaka walikuwa wanakula Bata ujanani na kutokuwekeza Wala kuweka akiba, jambo lililokuja kuwagharimu uzeeni huku wengi wao wakikiri kusumbuliwa na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa yalioyotikana na lishe duni.
Vijana wa sasa tuwe makini hususani katika kuwekeza na kuweka akiba kwani uzee haubishi hodi na unakuja kama mnyang'anyi mwenye silaha.