Serikali hasa TAKUKURU tuambieni nani amekula fedha za vijana wa timu ya taifa under 15? Wameshinda milioni 180 wamepewa elfu 20 wakatelekezwa na TFF

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
 
Unafikiri tumbo la huyu mwamba linafumuka kwa kutafuna mirungi na kubugia kahawa tu?!!

Leo madogo wataitwa na kupewa laki 2 makelele yaishe!!
download (2).jpeg
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
This is very bad
 
Huu sasa ni upumbavu uliopitiliza

Hawa vijana na kudhurumiwa, inatosha kabisa kutufanya watanzania wote bila kujali itikadi zetu kuwa barabara kwa maandamano yasoyokoma!

Tunaviongozi walafi wasio na soni hata kidogo, hawawezi kuridhika kwa chochote hata walipwe mishahara ya namna gani

Ni wauwaji na hawana huruma
 
TFF inafahamika ni wapigaji!

Unakumbuka issue ya canavaro? Taifa Stars walivyopata hela kwenye michuano aliamua pesa kuigawa huko huko kwa wachezaji wenzake kabla hata hawajarudi nchini.

TFF walimmaindi na kutaka kumchukulia hatua.
 
Halafu wakipewa mic na kuanza kujielezea utasema VIONGOZI si ndio hawa!!

sasa viongozi wenzao wakikosea NYUNDO hawana huruma, mchezaji akikosea NYUNDO .

Wamefukuzana pale TFF wamebaki wanaoongea kauli moja ya upigaji ,na umungu mtu.

hawaguswi kwa lolote
 
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa elfu 20 kama nauli warudi makwao.

Mara ya kwanza waliwafanyia hivyo hivyo kwa kuwapa elfu 50. Wanaulizwa baada kelele kuwa nyingi mitandaoni wanasema hundi bado haijabadilishwa. Ni hundi gani inachukua wiki kubadilisha? Je, wameshindwa kuchukua fedha kwenye akaunti zao wareplace?

Jambo la kusikitisha zaidi wao kama wazazi wamewaacha watoto wadogo hawa , je wangekuwa ni watoto wao wangewaacha huko mkoani wakarudi DSM?

TAKUKURU NA SERIKALI TUAMBIENI HIZI FEDHA ZIMELIWA NA NANI? STORY KWAMBA ZIMEINGIA KWENYE UENDESHAJI WA TFF HATUZITAKI WATOTO WAMEFANYA KAZI WAPEWE STAHIKI ZAO.

LAKINI PIA TUFAHAMISHE FEDHA ZA AWALI ZILILIWA NA NANI? LAKINI PIA VIONGOZI WA TFF WAMEANZA KUWATISHA WATOTO WAKITAFUTA ALIYEVUJISHA SIRI, SERIKALI LINDENI HAWA WATOTO WASIPATE TATIZO LOLOTE NA WALA WASIENGULIWE KWENYE TIMU YA TAIFA
Hivi hii Nchi ina laana gani ??!
Hata watoto wanataka kudhulumiwa ??!
Na hao wakubwa kabisa wa hii Nchi nao pia wananyamazia hizi shutuma ??!

Au ndio tuseme hawajui ??!!
 
Back
Top Bottom