Niwaonye Vijana wa humu JF,Ikiwa huwezi kupambana na UMUGHAKA acheni Midomo

Status
Not open for further replies.

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kama unajua kabisa huniwezi kiakili na kimapambamo (Ngumi) kwanini unichokoze?,Sometimes huwa nikiongea naonekana mbaya!

Kijana mmoja sijajua ni KE au ME anayejiita Hance Mtanashati kwa mbwembwe nyingi alinifuata kwenye uzi wangu na kutaka kufanya Sparring na mimi UMUGHAKA WA BHAGHAKA!,Kwa kuwa alikuja kwa kejeli na matusi kibao niliamua kumkubalia ili atimize haja ya moyo wake!.

Nilimuonya na kumshauri huo muda anaotaka kufanya Sparring na mimi kiumbe mwenye hati chafu ya maisha kutoka Tanzania,autumie kujiongezea maarifa ili aijenge kesho yake iliyobora zaidi!.Kitu kibaya huyo Kijana ambaye sijui jinsia yake ni KE au ME aliendelea kunikejeli na kunishushia matusi mazito!.

Sikuwa na hiyana nikaona kwakuwa hakupata zawadi siku ya Boxing day,ingekuwa vema nikampatia zawadi hiyo kupitia Sparring ili aende akawaonyeshe ndugu zake namna ambavyo mara zote nimekuwa nikigawa zawadi za bure kwa watu wasiyokuwa na nidhamu na mimi!.

Zawadi niliyopanga kumpatia ilikuwa ni Mapengo yakiwa yamefungwa na nyama laini za fizi,naamini zawadi hii angeifurahia kwasababu angekuwa anaziangalia nyama na kubaki kuzichekea tu huku akibaki kujilaumu kwanini aliomba Sparring na mimi!.

Kwakuwa aliniharakisha nifanye hivyo,nilimuomba tufanye iwe leo siku ya Ijumaa kabla ya Jua kuzama kwasababu Jumamosi kwangu itakuwa siku ya kuamuabudu Mungu aliyeniumba,kijana kwa hasira aakaniambia namuogopa,hivyo kwakuwa alinifuata kwa hiari yake,nikaona niihairishe siku ya Jumamosi kuamubudu Mungu aliyeniumba ili nikampelekee zawadi ya Mwaka mpya!,Kijana baada ya kuona niko serious akaingia mitini na kusema nisubiri hadi arudi kwani yuko Dodoma anauza zabibu!

Nipende kuwaonya Vijana,kama umechoka kutafuta pesa rudi kwenu ukawasaidie wazazi wako kufanya kilimo,siyo kuja kunichokoza ukadhani mimi niwa kuchezea!

Wewe kijana Hance Mtanashati na kijana mwenzio GENTAMYCINE niwaombe muache hizi tabia za kitoto,mimi si mtoto mwenzenu!,Mnakuwa na midomo mirefu kama chuchunge inapaswa mjue na kupigana!,Siyo mnaleta blah blah!.

Mimi si size yenu!
 
UMUGHAKA wa Baghaka
 
muabudu mungu wa mafarakano, vita, mapigano na uharibifu Nakuombea, na Nakutakia Baraka na Neema za Mungu Mwaka Mpya 2024.....

Uwe wa Amani, kwako binafsi, kwa familia yako, ndugu, jamaa na marafiki wote humu JF....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom