Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
Vijana tupatao 436 tuliowahi kuahidiwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwamba baada ya kumaliza mafunzo yetu tungeajiriwa moja kwa moja, hadi sasa hatujaajiriwa wote.
Baadhi yetu tumebaki mitaani bila ajira, huku wengine wakiwa wanakabiliwa na changamoto za...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema vijana ni nguvu kubwa katika jamii na wana uwezo wa kusababisha mabadiliko nchini.
Heche ameyasema hayo akizungumza na vijana, akiwahimiza kutambua nguvu waliyonayo na kuitumia katika kushiriki katika masuala yanayohusu mustakabali wa nchi...
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8
Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti
Amekuwa akiungwa...
Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana.
Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time.
Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno ...
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani
Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
Hayawi hayawi yametimia. Baada ya hotuba ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwa vijana wake akiwataadharisha juu ya athari ya pombe na hatima ya maisha yao leo naona habari yenye mvuto juu ya kupipgwa maarufu pombe kali kutoka Tanzania.
Hapa Tanzania tunataka tupate maendeleo ya haraka mno, I...
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini?
Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka.
Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na aliyewahi kuwania udiwani, aliripotiwa kutekwa na watu waliokuwa wamevalia kiraia katika eneo la...
Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja...
Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na baadhi ya wanaume katika maeneo ya mashambani.
Wanawake hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro.
Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
Anonymous
Thread
hawajalipwa
kampuni
kazi
kiwanda
manunuzi
mchele
mishahara
mkoa
mpunga
ndugu
posho
tanzania
vijana
wanaofanya
yangu
Vijana jengeni nchi yenu wenyewe kwa akili na mikono yenu, wazungu hawana fedha za kutupa tujenge nchi yetu, wenyewe wamefilisika vibaya sana. Hata wazungu wanakwenda China na Uarabuni kuomba misaada ya fedha na wawekezaji waende kwao.
Inawezekana vijana wetu hawajui kuwa wazungu siku hizi...
Inasikitisha.
Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao.
Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.