vijana

  1. 650

    JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  2. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo acha utawafanya hao vijana waje waozee magerezani, wewe ni mfungwa mtarajiwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Mitego 5 ya Kifedha Inayoua Vijana Kiuchumi

    Ukiwa kijana, kushika mshiko wa kwanza maishani ni kama kupata uchawi fulani hivi unaokufanya uhisi una uwezo wa kununua mtaa mzima. Lakini bila kujitambua, unajikuta unafanya makosa ya kijinga sana ya kifedha yanayokuhakikishia umaskini wa kudumu ukifika umri wa miaka 30. Usikubali kuwa "bosi...
  4. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Siha: Vijana walioweka jeneza juu ya gari walikuwa wamelewa

    Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi. Pia Soma: Jeneza lawekwa juu ya gari...
  6. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya Serikali kufuatilia baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa na Atamiz/CBE

    Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana Wakiume mjue Ndoa lazima izingatie maslahi yako ya Kiuchumi. Ndivyo familia kubwa zinavyofanya, siyo unajioleaolea hovyohovyo

    VIJANA WAKIUME LAZIMA MJUE NDOA LAZIMA UZINGATIE MASLAHI YAKO YAKO KIUCHUMI. NDIVYO FAMILIA KUBWA ZINAVYOFANYA. SIO UNAJIOLEA OLEA HOVYOHOVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna dhana nyingi za kizamani ambazo zipo zaidi Afrika na jamii maskini au zilizotopea kwenye ujinga. 2. Kwamba...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Mtego wa "Mshahara wa Kwanza": Kwanini Vijana Hawaendelei?

    Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya mshahara au biashara. 1. Shambulio la Gari: Chuma vs. Ardhi Hili ni kosa namba moja la vijana wa kiume...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

    Mchekeshaji Mzee Shayo amemkosoa vikali Coy Mzungu, akimtuhumu kuwanyonya vijana kwa manufaa yake binafsi na kudai hafai kuitwa game changer wa ucheshi nchini. Shayo amesema game changer halisi katika comedy ni Diamond Platnumz, akishangazwa na tuzo aliyopatiwa Coy Mzungu. "Siwezi Kumtofautisha...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hapa kama tumechekesha kweli:waziri wa vijana ila motivation sio mtendaji ila alikuwa kama msanii wa mr nguruwe,vanira na kuku.

    Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana. Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BULABO 2026 yahimiza vijana kutumia fursa zilizopo nchini kujikwamua kimaisha

    Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
  14. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kinachowaangusha vijana wetu huko mamtoni/ ughaibuni

    Naam vijana wetu na watoto wetu pia wajukuu huamua kufunga safari na kwenda nchi za mbali katika kujitafutia riziki, Wengi huenda kwa njia ya kupata Elimu na baadae huamua kufanya kazi,,,wengine huenda kama kutembea na kujilipua nk nk wengine hupata Green Card kwa wale wa magharibi ya mbali...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Ahamasisha Vijana Kugeuza Changamoto za Mazingira Kuwa Fursa

  18. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT: JKT si chombo cha Muungano, si sawa kulazimisha Vijana wa Zanzibar wajiunge JKT, hiyo ni kupora mamlaka ya Zanizbar

    "JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar." Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
Back
Top Bottom