Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
962
Reaction score
1,909
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026, shilingi bilioni 52.6 zimetolewa kwa ajili ya mikopo ya vijana walioko katika sekta mbalimbali waliokidhi vigezo.
 
Dada, kaka, baba, mama
Wewe kama mdau tumia fursa hii kumuinua huyu kijana wa jf anayetaka kupata hili fungu kutoka kwa serikali
 
Basi fanya kitu.. najua humu kuna mawaziri, wabunge na madiwani
 
Just imagine katika pesa yote hyo mi nataka 1M tuu sina tamaaa kijana wa watu
 
Hizo 52.6bil waliopewa ni wale wenye kadi zao za kijani
 
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026, shilingi bilioni 52.6 zimetolewa kwa ajili ya mikopo ya vijana walioko katika sekta mbalimbali waliokidhi vigezo.
Hawa vijana wa wapi? Tuna vijana majumbani wanajitahidi kufanya biashara lakini access ya mitaji hamna, hivyo wanapambana kwa kiasi kidogo tunachowawezesha.
 
Back
Top Bottom