vijana

  1. Chizi Maarifa

    Bachelor of Arse Kissing in Public Relation (Ba. AKPR) Vijana someni hii inalipa sana

    Kuna watu wana Certificates tu lakini maisha wamewin. Wanaendesha maisha vizuri sana. Msing'ang'anie kusoma program ambazo zitawaweka mitaani. Unatakiwa tu uwe umeamua kuacha kutumia akili kabisa. Utumie tu ulimi kulamba makalio ya wakubwa na sole za viatu vyao in Public. Hutakiwi kuwa na...
  2. T

    Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  3. BARD AI

    Zaidi ya Vijana 100 waondoka kwenye mradi wa BBT, sababu yadaiwa hakuna uelekeo

    Zaidi ya vijana 100 wa Programu ya Kuwezesha Ushiriki wa Vijana Katika Kilimo Biashara (BBT- YIA) wanadaiwa kuondoka katika kambi ya Chinangali, Dodoma, ambako vijana hao wamekusanywa, wakidai hakuna mwelekeo kambini hapo, huku wakiishutumu Serikali kwa kushindwa kwake kutimiza ahadi...
  4. S

    Kuweka Mipaka na Wazazi kwa Vijana

    Ninafahamu kuwa kila familia ina utamaduni wake na maoni yake kuhusu jukumu la watoto kwa wazazi wao. Hata hivyo, binafsi ninaamini kuwa wazazi wanabidi wajue kuwa sio rahisi kuwahudumia, au kuhudumia familia nzima hasa pale unapojikuta hali yako ya Uchumi ni tete, au ajira imekuwa changamoto...
  5. M

    Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi. Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
  6. P

    Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

    Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
  7. K

    Tumshauri Rais ateue vijana wasio na uzoefu lakini wana vipaji vya uongozi kwenye taasisi za Umma, hawa ni watu ' potential' sana

    Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi? swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio? Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
  8. stakehigh

    Jamani kueni makini na hawa vijana wa forex

    Naomba mnaojaribu kujiunga na izi biashara za forex muwe makini, sio kila kitu online ni cha kuamini
  9. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:- 1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki...
  10. Aramun

    Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

    Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo. Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao...
  11. BARD AI

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  12. K

    Vijana wa Kitanzania msipoacha woga hamtaendelea

    Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi. Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia...
  13. sanalii

    Club ya vijana wenye tabia njema

    Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako 6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako 7. Huna husda wala majungu 8. Unajitahidi...
  14. Eli Cohen

    Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  15. Bushmamy

    Hili la vijana kuvuta petrol pamoja na gundi

    Arusha. Petroli na gundi inapogeuka kuwa dili kwa vijana. Kutokana na ugumu wa maisha, kukosa ajira, kazi ngumu imewalazimu vijana wengi kuingia kwenye makundi ya ajabu na yanayofanya mambo ya kushangaza katika jamii, mojawapo ni hii aina mpya ya uvutaji wa petrol pamoja na gundi kama njia...
  16. joyce123

    Jinsi ya kukabiliana na janga la kamari za mitandaoni Kwa vijana tunaotafuta mafanikio

    Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na...
  17. Mto Songwe

    Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  18. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  19. DR HAYA LAND

    Vijana msipoacha roho mbaya hamateweza kutoboa ,mtajitafuta hadi kwenye nyota

    Siri ya mafanikio ni kuwa positive na kuwa work smart na kufurahia pale wenzio wanapofanikiwa.
  20. Kiboko ya Jiwe

    Vijana iepukeni zinaa

    Zinaa inachafua destiny (hatma ) yako. Zinaa inamvuta kijana kwenye shimo la mauti. Zinaa zinazalisha ufukara. Ni hayo tu, siachi kuwaasa vijana wenzangu. Mwenzenu tayari nimeshaacha zinaa.
Back
Top Bottom