vijana

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwalimu nyerere alipoteza muda wake bure kuwapambania vijana kama hawa wapate uhuru

    Tazama hio video kisha sema watu kama hawa walipambaniwa kupata uhuru burebure
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kuweka Mazingira wezeshi kwa Vijana

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kupata elimu, ujuzi, ajira na fursa za kujiajiri ili kutumia uwezo na vipaji vyao katika kuchangia maendeleo na ukuaji wa uchumi wa Zanzibar. Rais...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana waandaliwe kuvamia mataifa mengine. Bado muda tunao.

    Hamjambo wote! Hili nitaendelea kulisema kila nikipata nafasi. Kwa sababu najua kile ninachokisema. Nakijua kwa sababu ndio usalama wa nchi yetu na future yetu. Niliitambulisha sera ya uvamizi miaka kadhaa iliyopita. Nikiwasihi viongozi na wale wenye mpango wa kuwa viongozi waitafakari, kisha...
  4. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe kodi kwenye vipuli na mashine kwa vijana wanaoagiza nje ya nchi ili kuinua sekta ya viwanda

    Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kucheleweshewa Mishahara kwa Maafisa Kilimo wa BBT

    Sisi vijana tulioajiriwa kuwa Maafisa Kilimo wa zao la pamba kupitia programu ya BBT, tunakabiliwa na changamoto ya kucheleweshewa mishahara na stahiki nyingine zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yetu. Baada ya kuajiriwa na Bodi ya Pamba na kupangiwa kufanya kazi katika kampuni...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waliotoka JKT walifundishwa kuhusu kutoshiriki maandamano? Baadhi ya vijana wanatishia wengine

    Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani. Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tujikite Kwenye Uchumi na Jamii

    Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda mwingi kwenye siasa na harakati za hovyo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana kuvuka mipaka.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu. Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani. Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Vijana waliochoka kukaa mjini na wanatamani kurudi vijijini, nyoosheni mikono juu

    Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu. Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki...
  17. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar wananiita mshua

    Maana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

    Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli "Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kinondoni ni Hasara Taslimu

    Utakuta miaka 35 plus hadi 50 wapo wanaishi kwa wazazi wao. Au akijitahidi sana basi ameolewa na mwarabu kapangiwa nyumba. Na unamwona kama mwanaume hivi kumbe ni mke wa mtu. Kinondoni ni Wilaya ambayo inaongoza kwa Matakataka mengi. Ikifuatiwa na Temeke, Ilala, Manzese na Buguruni. Kisha kuna...
  20. FIKRA NASAHA

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imejiandaa kwa maisha yao baada ya repatriation?

    WANAOREJESHWANCHINI - TANZANIA JE, SERIKALI IMEJIANDAA KWA MAISHA YAO BAADA YA REPATRIATION? Kwanini kurejeshwa kwa Watanzania kutoka Afrika Kusini kusibaki tu kuwa safari ya kurudi nyumbani, bali iwe mwanzo wa mpango wa ajira, biashara na Reintegration. Habari rasmi zina onyesha Serikali ya...
Back
Top Bottom