vijana

  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema juu ya ufaulu mzuri wa vijana kidato cha sita kwa miaka ya karibuni. Kuangalia haraka inaonekana point "3" kwa combi ya PMC hakuna

    Je ni hasa chazo cha ufaulu ? Teknolojia Aina ya mitihani Malengo ya wahisani Tiririka
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

    Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous Vijana wamevurugwa mentally. Vijana wengi hawana sexual awareness Vijana wengi wanateseka na uraibu Vijana wengi wanateswa na mahusiano Vijana wengi wanatepelika kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi kampuni ya mikopo inavyotunyanyasa wafanyakazi wake

    Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar. Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

  8. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma wazee ndio walikuwa na taitizo la nguvu za kiume. Now days ni vijana wadogo sababu ya Pombe na madawa ya kulevya

    Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa una kuta hawezi kupafom hii ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya.
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

    Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue. imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili. Wanaume wakiona hupata picha...
  11. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao. Tulia; 1. Pata ujuzi (au wazo la biashara) 2. Anza 3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA Utajishukuru ukiwa 32+ (& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ya msingi kwa vijana wetu nani alaumiwe? Wazazi/walezi ama usasa?

    Nazungumzia kwa uzoefu wa mitaani, kwenye jamii, mitandaoni na kama mzazi na mlezi Mitaani na kwenye jamii usasa ndio umeshika hatamu si kwa wazazi/walezi wala watoto wenyewe Wazazi na walezi kutokana na utandawazi na harakati za maisha hatuna muda wa kukaa na watoto wetu na kuwafunza mambo ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanaweza kufanikisha Maandamano ya 7/7. Kimsingi hayazuiliki kama yataanzia ndani ya viwanja vya Sabasaba

    Kabla ya kuendelea nianze kwa kusema, huu ni uchambuzi tu. Nitaanza kwa neno hili "herd behavior" hii ni tabia maalum ambayo kila binadamu anayo, kwa lugha ya kizungu hutafsiriwa hivi What herd behavior means: It's the tendency of individuals to copy what the crowd is doing rather than...
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

    Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme, Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
  15. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  16. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vijana wengi hasa Gen-Z kuota mvi?

    Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi. Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake? Jaribuni kuchunguza mtaona mfano Steve Nyerere
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha. Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anashiriki kukandamiza vijana kwenye umasikini, ujinga

    Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
Back
Top Bottom