vijana

  1. JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa CCM Wakitwangana kugombea posho

    Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wako kwenye hatari ya kupata ajali za barabarani zinazochangiwa na uendeshaji wa bodaboda na bajaj

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watoto kuanzia miaka mitano hadi 29, wako katika hatari zaidi kutokana na vijana kujikita katika uendeshaji wa bodaboda na bajaji. Pia takwimu za WHO zinaonyesha chanzo cha vifo namba nane duniani kinatokana na ajali za barabarani...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

    Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote kitanda kimoja. Haya mabalaa ya namna hii ndgu zangu vijana tusije mfanya dokta kama rolu modo...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa ilivyoathiri ubongo wa vijana wa nchi yangu

    Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Vijana

    Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa husema " Vijana mjiajiri" wakati wao wameajiriwa na Wachungaji husema " Jiwekeeni Hazina mbinguni" ilhali wao ni mabilionea!

    Mzee Kikwete aliwahi kusema " zilongwa mbali zitendwa mbali" Binafsi huwa siwaelewi kabisa wanasiasa wanaowahubiria vijana kuwa ajira hakuna hivyo wanapaswa kujiajiri. Chukulia mfano mzee Lyatonga Mrema anaishi kwa uteuzi hadi leo. Kadhalika kuna wale wachungaji wanaohubiri utoaji wa sadaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu vijana, mazingira ya sasa si rafiki, ni magumu sana kwao kufanikiwa kimaisha hasa vijana wanaotokea familia masikini!

    Habari zenu wanajamvi, nimeleta mjadala kwenu, " Hivi ni sahihi kuwaona wasiofanikiwa kwamba hawana vision wala malengo" Wote tutakubaliana kwamba vijana wengi wanaohangaika kusaka angalau mtaji wa kuanzisha biashara ni wale waliotoka familia Duni tena duni hasa, ambao wameongeza umasikini wa...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

    Wakuu, Unajua haya mambo ya Jeshi sijui inakuaje kama mtu ukifiwa. Juzi tumepata msiba wa Vijana wetu zaidi ya kumi walikuwa kwenye Mazoezi. Leo ndo tunaaga hapa Lugalo Dar, kwa anayetaka kushiriki mazishi aje. Naamini Jeshi litatolea ufafanuzi taarifa hii ili kuondoa sintofahamu. Baada ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hamida Kaniacha. Vijana Jijengeni Kimaisha Aisee

    Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha. Vijana wenzangu niwashauri msijikite sana katika mapenzi. Pambaneni kujinasua kimaisha na kimaendeleo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    January 20, 2020 Birmingham England NEW SIGNING MBWANA SAMATTA Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo. Source: Aston Villa FC Habari kamili : Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM: Tusikubali mafundisho ya kusifia tuu mtu na chama chetu, bali tupokee yale yenye kutia "UBUNIFU" wa kuijenga nchi kisayansi zaidi.

    Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :- 1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani. 2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti. 3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
  16. JamiiForums Tanzania Muziki wa zilipendwa na vijana wa kisasa

    Habari viongozi, Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko. Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo kipindi zinatamba wao hawakuwepo? Au hizi nyimbo zinarithishwa kama zinavyorithishwa genetic...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaofaulu mitihani ya kidato cha 4 vizuri tuwaandalie kanzi data(Database) na tuwafuatilie

    Wana JF, nimejaribu kuwaza kwamba juzi kwenye matokeo ya mtiani wa kidato cha nne 2019 hawa vijana 10 au "the best 10 students" kama yule kijana Yohana kutoka mkoa wa Simiyu na wengine waliotoka shule mbalimbali nchi nzima followup yao inakuwaje badae ili tuone kama nchi yaweza kunusuru na...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

    Habari wakuu! Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Haya sasa vijana mliokuwa na ndoto ya kuwa wanajeshi ila ndoto hizo zikafa, US na Iran itakuwa suluhisho

    Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini. Vyombo vya ulinzi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…