Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko DSM akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!

Soma pia > RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “
 
Gambo ndio baba lao Katika unafiki. Inawezekana hao vijana wamempiku kwenye unafiki ndio maana kakimbilia kwa Makonda na kulialia.

Makonda hawezi kumsaidia kupata ubunge mbele ya jungu la vijana UVCCM. Kama kagombana na hao, ajue amekwisha. Vijana mmalizeni kabisa huyu mtu aka shetani maana hafai hata kupata uenyekiti wa mtaa.
 
Yani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu asubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa
 
Chuga ipi mkuu ya mateves au olasiti?? Unafahamu mipaka ya chuga wewe??
 
Yani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu hasubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa
Wewe Ujuwi chochote kuhusu siasa ya Arusha.
 
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!
Tuliposema kuwa UVCCM ni wachawi hamkuelewa?
 
CC:Wakudadavua
CC:Kipara kipya
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!
 
Dua za watanzania zimeanza kupatiwa majibu sasa mashetani yameanza kuraluana
Gambo ndio baba lao Katika unafiki. Inawezekana hao vijana wamempiku kwenye unafiki ndio maana kakimbilia kwa Makonda na kulialia.

Makonda hawezi kumsaidia kupata ubunge mbele ya jungu la vijana UVCCM. Kama kagombana na hao, ajue amekwisha. Vijana mmalizeni kabisa huyu mtu aka shetani maana hafai hata kupata uenyekiti wa mtaa.
 
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!
Ya kweli hayo mkuu?Kumbe unalijua hilo kuwa wamejaa unafiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom